Veney Diva Daycare and Learning center

  • Home
  • Veney Diva Daycare and Learning center

Veney Diva Daycare and Learning center Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Veney Diva Daycare and Learning center, Education, Kiloleli, Mwanza, .

Tume wamiss watoto wetu. Tunawaomba wazazi,walezi na familia Kwa ujumla wawalinde watoto na kuendelea kuwajenga watoto k...
05/06/2020

Tume wamiss watoto wetu. Tunawaomba wazazi,walezi na familia Kwa ujumla wawalinde watoto na kuendelea kuwajenga watoto kipindi hiki wakiwa nyumbani.

Karibuni Wote.
02/02/2020

Karibuni Wote.

Kituo cha Veneydiva Daycare & Learning center Tunakaribisha wazazi, walezi, rafiki na wadau Wote kuchangia Vifaa vya kuj...
23/01/2020

Kituo cha Veneydiva Daycare & Learning center Tunakaribisha wazazi, walezi, rafiki na wadau Wote kuchangia Vifaa vya kujifunzia kwa watoto k**a madaftari, kalamu, Vitabu, viti, meza, posters,n.k , sare za shule, Vifaa vya kuchezea na chakula (uji),walimu n.k. Unakaribishwa kuchangia Kwa fedha taslimu kiasi chochote kuanzia sh. 2000 au vifaa, karibu sana. Simu no. +255 759060792 Email: [email protected]
P.O.Box 11604, Malimao-Kiloleli B, Mwanza-Tanzania.
Kituo hiki kina lengo la kumuendeleza Mtoto kielimu na malezi bora kwa maisha bora ya baadae!
Kituo kinapokea watoto kutoka mazingira tofauti ikiwemo wanaotoka kwenye mazingira magumu.
Mwaka huu kituo kina lengo la kufikia watoto 50,. Kauli mbiu: Wezesha watoto 50 Kupata elimu bora ya awali.

Rafiki wa kituo chetu unakaribishwa kuwezesha elimu bora zaidi kutolewa kwa watoto kwa kuchangia Vifaa vya kujifunzia k*...
23/01/2020

Rafiki wa kituo chetu unakaribishwa kuwezesha elimu bora zaidi kutolewa kwa watoto kwa kuchangia Vifaa vya kujifunzia k**a vitu, meza, Vitabu,madaftari,kalamu,Vifaa vya kuchezea na chakula ( uji). Kwa pamoja tunaweza kutengeneza kuzazi kilichobora cha badae! Kwa kuchangiamaelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba #0759060792

Karibu sana katika centre yetu kwa mwaka wa masomo 2020! Masomo yameanza na usajili unaendelea!
23/01/2020

Karibu sana katika centre yetu kwa mwaka wa masomo 2020! Masomo yameanza na usajili unaendelea!

We love Visitors!Meet the C.E.O of Zerry Education Center ( All the way from Tandale, Dar es salaam).Karibu tena!
27/09/2019

We love Visitors!
Meet the C.E.O of Zerry Education Center ( All the way from Tandale, Dar es salaam).
Karibu tena!

We celebrate our babies birthday's like that!
04/06/2019

We celebrate our babies birthday's like that!

Learning activities! Tunasoma namba.
13/05/2019

Learning activities! Tunasoma namba.

A place where your child learn and have fun!
09/05/2019

A place where your child learn and have fun!

Time for a nap,after a busy schedule!
10/04/2019

Time for a nap,after a busy schedule!

Proper diet for our children!
10/04/2019

Proper diet for our children!

Address

Kiloleli, Mwanza

Opening Hours

Monday 07:00 - 18:00
Tuesday 07:00 - 18:00
Wednesday 07:00 - 18:00
Thursday 07:00 - 18:00
Friday 07:00 - 18:00

Telephone

+255759060792

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Veney Diva Daycare and Learning center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Veney Diva Daycare and Learning center:

Shortcuts

  • Want your school to be the top-listed School/college?

Share