CRDO Training College

  • Home
  • CRDO Training College

CRDO Training College CRDO Training College is a modernized science and allied technologie that offers profession training in mining and mineral processing engineering.

15/06/2024

Habarini zenu Wana familia ya CRDO Training College . nawataarifu kwa wale wote waliomaliza CRDO lakini bado hawajachukua vyeti vyao wawasiliane na uongozi wa chuo kwa namba 0759211404/0789211404/0713270037 Ili wapewe utaratibu wa kupata vyeti vyao.

Na kwa wote mtakaopata taarifa hii wajulisheni wenzenu.

Pia waletene ndugu, jamaa na marafiki zenu wapate elimu, ujuzi na ajira kupitia chuo chako cha CRDO

24/11/2023
21/11/2023
Habari zenu ndugu wananchi na wapenda taaluma ya madiniCRDO inawatangazia nafasi za kozi fupi miezi 3 za mafunzo ya madi...
08/03/2023

Habari zenu ndugu wananchi na wapenda taaluma ya madini

CRDO inawatangazia nafasi za kozi fupi miezi 3 za mafunzo ya madini ukemia na uchorangaji na ulipuaji wa miamba . Ajira ni za uhakika

Mafunzo yote yanafanyika site kwenye plant na migodi ya madini kwa kipindi chote cha miezi 3.

Ada ni nafuuu sana

Jiunge sasa, tupigie tukuhudumie
0789211404 / 0759211494/ 0713270037

08/03/2023

karibu wote kwa mafunzo na ajira

Address

Our College Is Located At Kenyatta Road At The NCU Building. At Mwanza City, Tanzania

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CRDO Training College posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your school to be the top-listed School/college?

Share