21/11/2025
Admission 2026
Karibu Yusta Secondary School. Shule inahudumia wanafunzi wa dini zote.
Nyasaka, Ilemela
Mwanza
P.O.BOX3119MWANZA
Be the first to know and let us send you an email when YUSTA Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
Send a message to YUSTA Secondary School:
Karibu Yusta Secondary School. Yusta.S.S iliyopo Kata ya Nyasaka, Wilaya ya Ilemela Jijini Mwanza, ni shule ya binafsi iliyosajiliwa kwa namba S.3934 inahudumia wanafunzi wa jinsia zote (wakike na wa kiume). Shule inahudumia wanafunzi wa dini zote. Inatoa elimu bora kitaaluma na kijamii. Lengo kuu kwa wanafunzi wote ni kuimarika katika maendeleo binafsi na jamii kwa ujumla. Wanafunzi wanafundishwa kujituma kujiletea maendeleo yao na ya wanzao na nchi kwa ujumla, na hivyo kila mwanafunzi kuwa mtu bora na mfano kwa wengine.