Wunderkind Academy Mwanza

Wunderkind Academy Mwanza Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wunderkind Academy Mwanza, School, Mwanza.

Wunderkind Academy Day care, pre & primary school
Day & Boarding
Register number: EM.21079
Location: Tanzania, SLP 2923 Mwanza, Nyasaka center-Nyanda(barabara ya mawe)& Kishili-Bush*tu(jiwe ya Dodoma).

Our Footballers
25/04/2026

Our Footballers

24/04/2026

Mashindano ya UMITASHUMTA kati ya shule ya
Junoel na Wunderkind.

We won! We are the winners! Our score is 4:0.
Yeah!

Our Football team! Good Job! At UMITASHUMTA competitions.
24/04/2026

Our Football team! Good Job!
At UMITASHUMTA competitions.

24/04/2026

Katika mashindano ya UMITASHUMTA, Kata ya Kishili

Je? Unatafuta shule bora kwaajili ya mwanao na inayoweza kumuandaa kukabiliana na maisha ya kila siku?Uongozi wa Wunderk...
08/04/2026

Je? Unatafuta shule bora kwaajili ya mwanao na inayoweza kumuandaa kukabiliana na maisha ya kila siku?

Uongozi wa Wunderkind Academy tunawatangazia nafasi za masomo kwa watoto wa chekechea hadi darasa la saba.

Wunderkind academy ni shule inayotoa elimu ya darasani na nje ya darasa yaani kukuza na kutambua kipaji cha mwanao kwa manufaa yake ya baadae.

Tunapokea watoto wadogo kuanzia umri wa miaka miwili kuanzia Day Care hadi darasa la saba.

Shule zetu zote zimesajiriwa na zinatumia lugha ya Kingereza kufundishia. Pia watoto wanajifunza lugha ya Kichina, Kifaransa na Kirusi.
Shule ina masomo mbalimbali ya kugundua na kukuza vipaji vya watoto k**a vile Muziki (uimbaji na kupiga vyombo vya muziki), Computer na Programming, Uchoraji, ushonaji, ujenzi, ufundi mbalimbali mpira wa miguu na michezo mingine mbalimbali

Shule ina mazingira mazuri ya kujifunzia.

Ina waalimu na wataalamu mbali mbali waliobobea katika fani mbali mbali ikiwemo ufundishaji na kutoa elimu bora ya darasani na nje ya darasa, kijamii, kiroho na kisaikolojia kwa mwanao,

Mlete mwanao kwetu apate elimu pia ya mapishi, mastery skills, engineering, public speaking na zaidi ili kumuandaa kukabiliana na mazingira ya kila siku kimaisha,

Ada zetu ni nafuu sana, na unaweza kulipa kwa awamu nne;

Shule zetu zinapatikana Mwanza-Kishiri (Bush*tu), na Nyasaka Center, barabara ya mawe.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kutupigia;
+255 749 281 607
+255 620 581 607

01/04/2026

Holiday Camp activities

31/03/2026

Holiday camp activities

Holiday camp activities
31/03/2026

Holiday camp activities

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wunderkind Academy Mwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category