Brother PianTz

Brother PianTz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Brother PianTz, Educational consultant, Mwanza.

Kutokea   Show some love to Mathias Walichupa 🚀💥
13/04/2026

Kutokea Show some love to Mathias Walichupa 🚀💥

Amesema moyo unauma na anateseka sana jinsi anavyo semwa.
10/04/2026

Amesema moyo unauma na anateseka sana jinsi anavyo semwa.

🤔🫣
06/04/2026

🤔🫣

05/04/2026

Happy Ester Sunday ✝️ ✝️

🚫
04/04/2026

🚫

02/04/2026

HII TABIA SIO KWA VIJANA WA KIUME TU BALI SIKUIZI MPAKA DADA ZANGU MNAJICHUA SANAAAA💔😭😭😭😭

SIKILIZAAAA HII MPAKA MWISHOO
K**A UNAHII TABIA UACHE MARA MOJA❌️❌️❌️🚫

VERY DANGEROUS KWENYE HATIMA YA MAISHA YAKO...

02/04/2026

NI SAA TISA USIKU
😭😭😭😭😭😭
Hakuna kitu Kitamu k**a MAOMBI YA USIKU WA MANANE,wapendwa BWANA YESU APEWE SIFA 🙌🙏🙌

UPENDO WA KWELI...❤️▪︎k**a unampenda Mtu mwambie Leo - Akiwa Hai✔️▪︎Kama Unamkumbuka Mtaafute Leo -Akiwa Hai✔️▪︎Kama Una...
01/04/2026

UPENDO WA KWELI...❤️

▪︎k**a unampenda Mtu mwambie Leo - Akiwa Hai✔️
▪︎Kama Unamkumbuka Mtaafute Leo -Akiwa Hai✔️
▪︎Kama Unapenda Kujali Mjali Leo - Akiwa Hai✔️
▪︎Kama Unazawadi Mpe Leo -Akiwa Hai✔️
▪︎Kama Unaushauri Mshauri Leo - Akiwa Hai✔️
▪︎Kama Mtu Amekukosea Mwambie Leo - Akiwa Hai✔️
▪︎Kama unachukizwa na mtu Mwambie Leo - Akiwa Hai✔️
▪︎Kama Umemkosea Mtu Muombe Msamaha Leo -Akiwa Hai ✔️
▪︎Kama Unamsada Kwa Mtu Msaidie Leo -Akiwa Hai✔️

====================//======================

Huo ndio Upendo wa kweli ✅️❤️❤️

Usingoje Mtu Hajiwezi Yupo kitandani Hoi 😓
Usisubiri Mtu Amebadilishwa Jina na Kuwa Marehemu
Ndo uanze kupeleka kupeleka Milion of money na kushughulikia Msiba
Muanze kumhangaikia huku na kule ❌️

Tupendane Tukiwa Hai
tuonyeshane upendo tukiwa na Afya

Mtu Akifa Hawezi Ona Huo Upendo wako,nakujali kwako 🤔

HII SIO SAWAAAAA.....

Wapende watu wakiwa Hai
Wajali wakiwa Hai
Watunze wakiwa na Afya Njemaa ✅️🙌

Alisema, "Mtu mwenye upendo wa kweli ni yule ambaye anafurahi kuona wengine wakiwa na furaha, na anahuzunika kuona wengine wakiwa na huzuni."

Lahii Mandela alikuwa mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu na alikuwa Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini. Alifahamika kwa upendo wake kwa watu na kujitolea kwake kwa ajili ya uhuru na haki. 😊



Follow me Brother PianTz 💥

01/04/2026

Mungu anatupenda Tumevuka Mwezi Salama
🙏😇

01/04/2026

Mungu ni Mwema🙏

01/04/2026

Mwezi wa Nne ni Mwezi wa KUINULIWA SANA HUTOJUTIA UTAKUA NI MWEZI WENYE NEEMA💥😇

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Brother PianTz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share