05/01/2022
Kituo Cha Elimu Mkombozi kinahitaji Mwalimu wa watoto wadogo (Daycare & Nursery).
Vigezo:
>Awe na umri kuanzia miaka 18 na kuendelea.
>Awe na uwezo wa kuongea na kufundisha kwa Kiingereza kwa ufasaha.
>Awe na angalau na astashahada ya ualimu wa masomo ya chekechea au Shule ya msingi.
>Awe anawapenda watoto na awe tayari kuwasaidia watoto wawapo Shuleni au mtaani.
>Awe tayari kufanya Kazi muda husika ( Asubuhi-Mchana)
Mawasiliano:
0763890939/0788622687/0625383027