17/01/2023
Je, unahangaika kutafuta shule ya kumpeleka mwanao? Basi usiwaze kwani shule ya HillPark Schools - Mwanza ni shule ya kutwa na bweni na bado ina nafasi kuanzia awali (Nursery) na kwa shule ya msingi (Primary) kuanzia darasa la kwanza hadi darasa la sita. Tumefanya madiliko makubwa ili kuleta matokeo chanya mwaka2023. Tupo Buhongwa Mwanza Tanzania. Kwa mawasiliano zaidi piga simu +255787718065/+255752863654/0756609042