Excellent Mwanza OPEN School

Excellent Mwanza OPEN School EXCELLENT MWANZA OPEN SEC. SCHOOL NI SHULE INAYOTOA ELIMU YA SEKONDARI KIDATO CHA 1 - 6 KWA WANAOANZA NA WANAORUDIA.

( QT NA RESEATERS ) MASOMO YA SAYANSI, ARTS NA BIASHARA ( TUNAWAKARIBISHA PRE

21/02/2024
22/02/2022

Welcome to excellent Mwanza open School. Tunafundisha QT, WANAORUDIA KIDATO CHA 4 NA CHA 6 MASOMO YA SAYANSI, ARTS NA BIASHARA, PIGA 0767 154080 / 0683 154080.

22/02/2022
31/12/2021

ALICHOANDIKA KUHUSU SUBSTITUTE YA WAWA

📌Sultan ameonewa? amenyanyaswa? hakukuwa na mawasiliano? Pablo hamuamini Sultan?

📌Jibu ni kuwa Katika kufanya substitute huwa kuna kuwa kanuni za substitute ambazo katika msimu huu Substitute ni 5 lakini kwa mikupuo mitatatu. Sasa kilichotokea tayari Simba walikuwa wameshafanya mikupuo miwili za Substitute ya (Larry na ile ya Kibu Denis) sasa kilichotokea mkupuo wa tatu ulihitaji sabb 2 kwa wakati mmoja lakini Pablo hakuona ulazima wa kufanya Subb ya beki (Sultan) badala yake alitaka kuongeza kiungo katika mkupuo wa tatu (Abdswalmad Kassim)

📌Kocha wasaidizi walitaka kufanya subb kutokana na makubaliano kabla ya kutokea kwa mahiraji mapya ya mechi . …Kuelewana au kutoelewana katika benchi huwa ni kawaida kwa sababu katika mechi kocha anapokuwa katika touchline inaweza kutokea substitute ambayo sio ya lazima ambayo inakua tofauti na plan za awali.

📌 Msingi mkubwa ni kuona Simba walivyoweza kupata ushindi wa mabao 4 wakiwa ugenini kwa mara ya kwanza tena katika uwanja wa mkoani. Je ni Simba imara au Simba ni KMC dhaifu? Nafikiri huu mjadala ulikuwa mzuri zaidi na wenye mantiki kuliko kujadili tukio dogo la Subb ya Wawa.

FT : KMC 1-4 SIMBA

📌 Nipo Likizo Mpanda huku Mkoa wa Katavi nakula bata tuu matusi yawe mafupi mafupi.

KARIBUNI SANA

30/12/2021

Mambo zenuuu
Share pich yang nikufuate inbox tuchat muda huu niko mpweke Christmas 🎄 mzima jamani kuweni na uruma

EXCELLENT MWANZA OPEN SEC. SCHOOL NI SHULE INAYOTOA ELIMU YA SEKONDARI   KIDATO CHA 1 - 6  KWA WANAOANZA NA WANAORUDIA. ...
30/12/2021

EXCELLENT MWANZA OPEN SEC. SCHOOL NI SHULE INAYOTOA ELIMU YA SEKONDARI KIDATO CHA 1 - 6 KWA WANAOANZA NA WANAORUDIA. ( QT NA RESEATERS ) MASOMO YA SAYANSI, ARTS NA BIASHARA ( TUNAWAKARIBISHA PRE - FORM V JAN. 2022 KWA COMB ZOTE ZA MASOMO HAYO JUU ) KWA GHARAMA NAFUU SANA, MAZINGIRA YA SHULE NI MAZURI NA WALIMU NI WAZOEFU. SHULE IPO JIJINI MWANZA MKOLANI NYUMA YA KANISA KATOLIKI. KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0767 154080 AU 0683 154080.

Address

KASESE MKOLANI
Mwanza
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Excellent Mwanza OPEN School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Excellent Mwanza OPEN School:

Shortcuts

Share

Category