09/09/2022
Usikubali kukosa tena chuo wakati chuo cha afya Jellys Tupo. Chuo chetu kipo Nyasaka Mwanza,tunatoa kozi za Ufamasia Na utabibu(Clinical Medicine) ada zetu ni nafuu sana.
Ada ya Pharmacy ni 1.6M na ada ya Clinical Medicine ni 1.8M tu,unalipa kwa awamu 4,
Hosteli tunatoa bure kwa wanafunzi wetu,mazingira yetu ni mazuri sana,huduma zote muhimu zinapatikana.
Mawasiliano yetu;
+255 68 667 6727
+255 710 206 229