10/06/2024
1. Kitabu kina mada zote kidato cha kwanza hadi cha 4
2. Sura 29, kurasa 505, rangi kamili.
3. Kila subtopic ina maelezo ya kutosha na kueleweka na ina zoezi lake.
4. Kila Topic ina revision exercise ya maswali 50 hadi 100
5. Kuna mitihani 10 ya sampuli
6. Kuna sura nzima (maswali 90) ya Miscellaneous (dhana zote).
7. Majibu ya maswali yote yaliyomo kwenye kitabu (80 pages za majibu tu). Hakuna swali lililorukwa, mpaka grafu zimechorwa.
8. Kina *Ithibati* kutoka wizara ya Elimu kupitia ofisi ya Kamishna wa Elimu.
9. Bei ni Tsh. 25,000/- TU.