24/01/2026
*Tangazo la ajira*
Swafaaa Islamic primary School p.o box 408 muheza
Tunatangaza nafasi ya mwalimu wa somo la ENGLISH LANGUAGE
Awe na uzoefu wa kusomesha somo Hilo la ENGLISH KANGUAGE ngazi ya msingi
Elimu: cheti,Diploma & degree mwenye uzoefu anayo nafasi kubwa ya kupata kazi
Muombaji awe tayari kwa ajili ya usaili(interview) ya somo la ENGLISH LANGUAGE
Wasilisha cv zako shuleni ofis ya taaluma au Whatsapp namba
0719145957
INTERVIEW ITAKUA JUMATATU TAR 26/1/2026 SAA MBILI KAMILI ASUBUHI HAPAHAPA SWAFAA PRIMARY SCHOOL MUHEZA.