Qur'an and sunnah

Qur'an and sunnah Fawaida kutoka katika Quran na hadithi za mtume(swala llahu alayhi wasallam)

Tujitahidi kutoa katika mwezi huu wa Ramadhani kwa sababu ni mwezi wenye baraka Na swadaka haipunguzi kitu chochote kwen...
23/04/2021

Tujitahidi kutoa katika mwezi huu wa Ramadhani kwa sababu ni mwezi wenye baraka
Na swadaka haipunguzi kitu chochote kwenye Mali Bali huongeza
Siku ya Qiama utavikuta vile vyote ulivyovitoa

Amesema mtume sala na salamu ziwe juu yake  Kuleni daku, kwani katika huko kula daku kuna Baraka Bukhari na muslim
17/05/2020

Amesema mtume sala na salamu ziwe juu yake

Kuleni daku, kwani katika huko kula daku kuna Baraka

Bukhari na muslim

Walikuwa wema waliopita wakimuomba Allah miezi sita(6) kabla ya ramadhani Allah awafikishe ndani ya mwezi wa ramadhani i...
03/06/2019

Walikuwa wema waliopita wakimuomba Allah miezi sita(6) kabla ya ramadhani Allah awafikishe ndani ya mwezi wa ramadhani ili wapate kuudiriki mwezi huo na vilevile walikuwa miezi sita mingine wanamuomba Allah awakubalie swaumu zao na sasa hivi ramadhani imeisha kwa hivyo jambo zuri kwa muislamu ni kuiga mienendo ya watu wema waliopita ambao ni (maswhaba) kwa sababu huwezi jua k**a ramadhani ijayo k**a utafika na ramadhani itaondoka lakini itarudi lakini wewe na Mimi tukiondoka haturudi,

Wangapi walitamani kufika ramadhani hii lakini hawajafika kwa hivyo jambo zuri ni kumuomba allah atufikishe tena

Na baada ya hapo tumuombe atukubalie funga zetu

Ewe Allah tufikishe ramadhani na utukubalie funga zetu

Address

Mtwara
2010

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Qur'an and sunnah posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category