Sema Usikike

Sema Usikike Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sema Usikike, Education, Kiyangu, Mtwara.

Nyerere day cleanness at SAUT mtwara
15/10/2016

Nyerere day cleanness at SAUT mtwara

Kazi ya kikundi ni kupambana na uharibifu wa Mazingira ili kuyaweka yawe rafiki kwa viumbe hai, hapo ni wanachama wakiwa...
30/09/2016

Kazi ya kikundi ni kupambana na uharibifu wa Mazingira ili kuyaweka yawe rafiki kwa viumbe hai, hapo ni wanachama wakiwa wamemaliza kufanya sherehe iloyoambatana na upandaji miti.

26/05/2016
Niaje watu wangu wa nguvu basi tulejee katikakipindi chetu cha utunzaji was Mazingira Janatumeona faida na athari za uha...
01/02/2016

Niaje watu wangu wa nguvu basi tulejee katika
kipindi chetu cha utunzaji was Mazingira Jana
tumeona faida na athari za uharibifu was
matumbawe basi Leo tutazame sura nyingin ya
mada inayoitwa mikoko ali maarufu k**a
mangrove, je waijua miti hii ? basi kwa maelezo
kidogo mikoko ni miti migumu ambayo huota
sehemu zenye hali ya uchumvichumvi miti
hiihupatikana sehemu za baharini ambazo
zinakuwa na hàli ya chumvi, si hivyo tu si kwamba
kila mahali inaota bali hutegemea ukanda miti hii
huota hasa upande wa tropical, kazi take husaidia
kupunguza mawimbi ya nagari ambayo hupelekea
mmomonyoko wa fukwe pia huçhochea upataji wa
mvua, hiyo ndo mikoko tuitunze kuepukana na
athari ,baßi aka chonjo kwa pindi tamu la
Mazingira # myplannthiinker2016 #
7 hrs · Privacy: Public

Environmental conservation is for all people and not selective as others know, let unite to build our  Environment club
18/01/2016

Environmental conservation is for all people and not selective as others know, let unite to build our Environment club

Address

Kiyangu
Mtwara

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sema Usikike posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category