Stella Maris Mtwara University College

Stella Maris Mtwara University College Stella Maris Mtwara University College (STeMMUCo) is a constituent of St. Augustine University of Tanzania (SAUT) located at “South Eastern part ” Mtwara .

The college runs programmes of study as approved by Tanzania commission for Universities(TCU).

Uongozi wa Chuo Kikuu kishiriki cha Stella Maris Mtwara University College unatoa pole kwa familia ya Profesa Mahalu, pa...
10/03/2026

Uongozi wa Chuo Kikuu kishiriki cha Stella Maris Mtwara University College unatoa pole kwa familia ya Profesa Mahalu, pamoja na Jumuiya nzima ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT) kufuatia Kifo cha Makamu Mkuu wa SAUT. Balozi, Profesa Costa Ricky Mahalu.

"Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele Umwangazie Apumzike kwa Amani. Amina"

🙏🙏🙏🙏🙏

Uongozi wa Chuo Kikuu Kishiriki Cha Stella Maris Mtwara (STeMMUCo) Unatoa pole kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ...
21/02/2026

Uongozi wa Chuo Kikuu Kishiriki Cha Stella Maris Mtwara (STeMMUCo) Unatoa pole kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na Waumini wote kufuatia kifo cha Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo (Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam.

Heri ya Siku ya Kumbukizi ya Mapinduzi ya Zanzibar
12/01/2026

Heri ya Siku ya Kumbukizi ya Mapinduzi ya Zanzibar

Kheri Ya Mwaka Mpya 2026, Mungu Atujalie Afya njema, Ulinzi na Mafanikio tele🥳🎉🎊🎆Ikawe Kheri Kwetu Sote 🙏🙏🙏
01/01/2026

Kheri Ya Mwaka Mpya 2026, Mungu Atujalie Afya njema, Ulinzi na Mafanikio tele🥳🎉🎊🎆


Ikawe Kheri Kwetu Sote 🙏🙏🙏

Uongozi, Wafanyakazi na Jumuiya yote ya Stella Maris Mtwara University College (STeMMUCo) unawatakia Kheri ya Krismasi n...
25/12/2025

Uongozi, Wafanyakazi na Jumuiya yote ya Stella Maris Mtwara University College (STeMMUCo) unawatakia Kheri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2026

Tunawatakia Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2026. Mungu Awabariki sana🙏      #ɴᴇᴡʏᴇᴀʀ2026
25/12/2025

Tunawatakia Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2026.

Mungu Awabariki sana🙏



#ɴᴇᴡʏᴇᴀʀ2026

14TH GRADUATION CEREMONYClass of 2025,            #
20/12/2025

14TH GRADUATION CEREMONY

Class of 2025,



#

Wote Mnakaribishwa
17/12/2025

Wote Mnakaribishwa

Heri Ya Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania.
09/12/2025

Heri Ya Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania.

Welcome All.
26/11/2025

Welcome All.




16/11/2025

Tarehe k**a ya leo Mwaka 2024 Mahafali ya Kihistoria yalifanyika Chuoni kwetu, Mgeni Rasmi alikuwa Dkt. Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu wa Tanzania kwa wakati huo pamjoja na Waziri wa Nishati na Madini, akisindikizwa na viongozi wa Serikali ya Mtwara.

Ilikua siku ya Vibe na furaha iliyoje kuhitimu masomo kwa ngazi mbali mbali baada ya kuwekeza muda na jitihada katika masomo kwa miaka kadhaa.

Hakika ni siku ya Kukumbukwa kwa Wahitimu wote wa Class of 2024, tunawakumbuka sana Mungu awabariki sana. Karibuni tena STeMMUCo ni nyumbani.



Address

P. O. Box 674
Mtwara

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Stella Maris Mtwara University College posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Stella Maris Mtwara University College:

Shortcuts

Share

Category