Wajue Wanyama na ndege

Wajue Wanyama na ndege Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wajue Wanyama na ndege, Mto wa Mbu.

page maalum yenye kuelezea tabia ya wanyama, ndege, amphibia, reptelia na wadudu, kujibu maswali tata na mikanganyiko yenye kuondoa ladha ya kuwafahamu viumbe Kwa undani.... KARIBU

Huyu NI mnyama gani kuna VOCHA ya 2000
26/04/2025

Huyu NI mnyama gani kuna VOCHA ya 2000

Huyu ni DUCK BILLED PLATYPUS Ni mamalia  pekee mwenye kutaga mayai na kupatikana katika order ya monotremata Wanapatikan...
25/03/2024

Huyu ni DUCK BILLED PLATYPUS
Ni mamalia pekee mwenye kutaga mayai na kupatikana katika order ya monotremata
Wanapatikana bara la Australia tu wenye mdomonwa Bata na mwili k**a pimbi na mkia K**a squirrel
Hawana chuchu k**a mammals wengine walivyo Bali wakiisha totoa watoto wake hunyonya maziwa Yale yanayomwagika kutoka katika mwili wake kwa mfumo maalumu wa oozes
Jamii yake ya kiume Huwa na sumu katika mkia wake KWA HAKIKA NI VIUMBE WA AJABU MNO

MUNGU NI WA AJABU

30/11/2023

Mungu wetu ni mwema hata AMETUAMSHA salama ...Tunaomba baraka Tunaomba uponyaji kwa wanao umwa na nguvu kwa waliovunjika moyo juu ya ugumu wa maisha ..

The photo of today ...
15/11/2023

The photo of today ...

21/01/2022

Hii inatafsiri kubwa mno hata katika maisha ya kawaida Mungu hugombonisha maaadui zako Ili uweze KUPONA ...Angalia hii video Hadi mwisho SERENGETI KWETU

Kuna vocha hapa ya 5000 k**a utaweza kuniambia ni kwa vipi waweza tofautisha tembo DUME na JIKE ...karibuni kwa maoni
21/01/2022

Kuna vocha hapa ya 5000 k**a utaweza kuniambia ni kwa vipi waweza tofautisha tembo DUME na JIKE ...karibuni kwa maoni

Upande wa kushoto ni Swala Sina ya generunk kulia upande wa kulia ni mnyama mwenye speed kuliko woote wote wa ardhini......
15/04/2020

Upande wa kushoto ni Swala Sina ya generunk
kulia upande wa kulia ni mnyama mwenye speed kuliko woote wote wa ardhini.... akimnyaka tai Kwa umaridadi

Tafsiri ya upendo huwa hauchagui ni Kwa kuwaona hawa viumbe wawili...
15/04/2020

Tafsiri ya upendo huwa hauchagui ni Kwa kuwaona hawa viumbe wawili...

Huyu ndiye inasemekana kaeneza corona... Hawa Ndio mamalia pekee anayeruka, na mamalia mdogo kuliko woote anaitwa  bambl...
14/04/2020

Huyu ndiye inasemekana kaeneza corona... Hawa Ndio mamalia pekee anayeruka, na mamalia mdogo kuliko woote anaitwa bamblee bée bat..... Jinsia yake Haina tofauti na primate

Address

Mto Wa Mbu

Telephone

+255753267982

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wajue Wanyama na ndege posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Wajue Wanyama na ndege:

Shortcuts

Share