Emanuel John

Emanuel John Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Emanuel John, Mikocheni, Mpanda.

Follow us kwa taaarifa mpya za michezo na burudani🔥

Follow us for the latest sports and entertainment news🔥

JOURNALIST & CONTENT CREATOR



Mwaga moto mwingi sana k**a dragon 🐉 kwake libasse GUEYE Ex factor 🥷  🦁🦁🦁🦁💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
19/08/2026

Mwaga moto mwingi sana k**a dragon 🐉 kwake libasse GUEYE Ex factor 🥷 🦁🦁🦁🦁💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿

Kikosi cha simba sc Leo dhidi ya pamba jiji patachimbika Ccm kirumbaLeo doumbia ameanzia mbao ndefuu amenyoosha fitoo 🥷 ...
19/08/2026

Kikosi cha simba sc Leo dhidi ya pamba jiji patachimbika Ccm kirumba

Leo doumbia ameanzia mbao ndefuu amenyoosha fitoo 🥷

16/08/2026
🚨AZAM FC WAPO SERIOUS KWENYE USAJILI KWELIKWELI 🔥😂Hiyo ni beki ya Mpira aisee.Msimu uliopita kacheza CHIPPA UTD na AL AH...
13/08/2026

🚨AZAM FC WAPO SERIOUS KWENYE USAJILI KWELIKWELI 🔥😂

Hiyo ni beki ya Mpira aisee.

Msimu uliopita kacheza CHIPPA UTD na AL AHLY ya Libya 🇱🇾.

Pote alikuwa anazima.

OYA IBENGE FANYA KWELI MWAKA HUU.

11/08/2026

🚨Kwenye hili nimeanza kuwaelewa viongozi wa simba sc.

Hata mimi ningekuwa Kiongozi,Nisingetoa hiyo Fedha kwa Mchezaji wa Mkopo.

Kwa sababu washambuliaji wazawa ambao hawatofautiani level na ubora na Mwalimu wapo kwa Million 150 na unammiliki wewe.

11/08/2026
04/08/2026

MEMORIES WHAT A GOOAL TRIPLE C

02/08/2026

Victor osimen x iblahim doumbia

Hii jezi ya Simba sc msimu huu hata ukiomba mkopo wa milioni 10 bila NIDA unapewa mkopo halaka sana.Mwaga moto mwingi sa...
01/08/2026

Hii jezi ya Simba sc msimu huu hata ukiomba mkopo wa milioni 10 bila NIDA unapewa mkopo halaka sana.

Mwaga moto mwingi sana kwa mzamini wa jezi zetu
Mwaga moto kwa mo dewji.

🚨Hivi  mna uhakika Cooper amekuja kuisaidia Simba kwenye Ligi kuu Tanzania bara Ball ipo mguuni au ndio Ile ya siku zote...
25/07/2026

🚨Hivi mna uhakika Cooper amekuja kuisaidia Simba kwenye Ligi kuu Tanzania bara

Ball ipo mguuni au ndio Ile ya siku zote tia maji tia maji?

Haya hapo chini maneno ya mdau DM ⬇️⬇️

Duuu!! Hapa Simba ndo wanapo feli Kila ikifiki kipindi Cha usajiri dirisha kubwa wanaleta mchezaji kwa majaribio ili iweje , mbona dirisha dogo wanasajiri wachezaji hawapiti kwenye majaribio na wanaingia kwenye kikosi Moja kwa Moja ,, Simba timu kubwa inataka ifanye makosa k**a ya usajiri wa mwaka jana wa kina Nabi Camara wanaketwa kwenye majaribio badae wanapewa mikataba halafu mashindano yakianza wanafeli Moja kwa Moja , Sasa Simba kwani haielewi Nini maana ya dirisha kubwa la usajiri , na kuwaletwna Fans wao wachezaji wa majaribio Halaf et wanahitaji makombe duuu hatar sana huu uongozi ni pasua kichwaa.

Address

Mikocheni
Mpanda

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Emanuel John posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share