Mwalimu Wangu.

Mwalimu Wangu. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwalimu Wangu., Religious school, Moshi.

Yuko mmoja tu aliye rafiki mzuri,baba mwema aliye rahisi kuishi naye kuliko kuishi na binadam,anaitwa Mungu.It is easy a...
08/12/2024

Yuko mmoja tu aliye rafiki mzuri,baba mwema aliye rahisi kuishi naye kuliko kuishi na binadam,anaitwa Mungu.It is easy and simple to live with God rather than men,God anaweza kunielewa kuliko wanadamu,have a good night

Jidie alisema,TPT bible  translation ktk kitabu cha Yohana 14:15 inayosema"Mkinipenda mtazishika amri zangu"TPT inasema"...
22/10/2024

Jidie alisema,TPT bible translation ktk kitabu cha Yohana 14:15 inayosema"Mkinipenda mtazishika amri zangu"TPT inasema"Loving me empowers you to obey my commands" Hii nzuri inatupa picha kwamba ni ngumu kushika amri na maagizo ya Yesu bila upendo,kumpenda ndiko kuna tusukuma kushika kile Bwana anachosema,nikutakie usiku mwema na mstari wa tafakari nami,Zaburi 119:141

Nilipookoka,nilipata watu sahihi wa kunilea,kunihudumia,nilienda ibada mapema kabla ya ule mda,sikukosa ibada yoyote,nil...
08/10/2024

Nilipookoka,nilipata watu sahihi wa kunilea,kunihudumia,nilienda ibada mapema kabla ya ule mda,sikukosa ibada yoyote,nilimtii mtumishi,nilimsikiliza,nilimfuata kwa kila hatua,nilitoa sadaka nilikuwa mtii na mwenye nidhamu,nawaza mbali sana.Sasa najihisi k**a vile nimekua kumbe bado Yesu ananiambia,msipoongoka mkawa k**a kule awali mkawa k**a vitoto,hamwezi kuukulia wokovu.Tafakari nami hayo Maneno,Omba nami haya maombi.
"Baba Mtakatifu,Baba mzuri Baba rafiki,Nakupenda sana ktk Jina la Yesu Amen"USIKU MWEMA

Mwalimu alitupa Neno la moyo kuwa,ibada ni uhai wa mtu yeyote wa kiroho,haina jana leo wala kesho,ktk ibada tunahuishwa,...
04/10/2024

Mwalimu alitupa Neno la moyo kuwa,ibada ni uhai wa mtu yeyote wa kiroho,haina jana leo wala kesho,ktk ibada tunahuishwa,tunakaa na Bwana tunamjua Bwana,tunaongezwa viwango,ukiona ibada inakuboa ndani yako,huna haja nayo,huna bubujiko la Roho,basi jiangalie sana,Baba anapenda ibada ubarikiwe msomaji wetu.

Bwana Yesu asifiwe wakristo woote,madhehebu yoote,Naitwa Yoshua Mwaijande au Mwl.Edy from Moshi kilimanjaro,napenda kuku...
05/07/2024

Bwana Yesu asifiwe wakristo woote,madhehebu yoote,Naitwa Yoshua Mwaijande au Mwl.Edy from Moshi kilimanjaro,napenda kukukaribisha ktk page yangu mpya tutakayo jadili Neno la Mungu tu,tembelea page hili upate neno la siku,Amen.

Address

Moshi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwalimu Wangu. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share