10/02/2023
*KARIBU "MASSAO" tunamshika mkono mwenzetu akifiwa na mzazi, mwenza wa ndoa au mtoto wake wa kuzaa* .
*Utapewa sh. Elf kumi ya Kila member aliyesajiliwa. Mfano Kwa Sasa wako 62. Hivyo utapewa sh. 620,000.*
*Kujiunga unaweka sh. Elfu 20 kwenye account ya M-KOBA ya MASSAO na Hela ya usajili sh. Elf 5.*
*Baada ya apo unasubr Mpaka tukio likitoea, aliyefiwa anapewa Hela then sisi tunarudishia ndani ya siku kumi.*
*Utaratibu wa kujiunga ni mrahisi ukiwa tayari. Utuambie viongozi tutakupa link then utasajiliwa na kuanza kuchanga mara moja. Karibu Sana* .