Rose Pre & Primary School

Rose Pre & Primary School Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rose Pre & Primary School, School, Mtauja Street, Moshi.

Rose Pre & Primary School
Its a day and boarding school
Found in Kilimanjaro region, Moshi rural district, Mabogini ward at Mtakuja village
P.O.Box 331
Contact us: 0621153133
Our motto: Rise up and shine

23/10/2025

Our standard four pupils after completing their national assessment (SFNA)- 2025
Muda ni sasa, fomu za kujiunga na shule zimetoka tayari,
Kwa maelezo yoyote tupigie kwa namba 0657855394
0621153133
Rose pre & primary school
Rise up and shine.....
🌹🌹🌹

17/04/2025

AJIRA! AJIRA! AJIRA!
Anahitajika mwalimu wa somo la science and technology na Mathematics.... (English Medium)
Shule ipo Moshi-kilimanjaro
Awe wa elimu ngazi ya diploma au degree
Awe mtanzania
Wa jinsia yoyote, ila ya k**e itazingatiwa zaidi
Kwa maelezo zaidi, tuwasiliane kwa namba:
0621153133
0657855394
Karibuni!

28/11/2024
Wahitimu wa elimu ya msingi, 2024 🌹🌹🌹
29/09/2024

Wahitimu wa elimu ya msingi, 2024
🌹🌹🌹

Wanafunzi wetu, wahitimu wa darasa la saba wakijifua vyema kwaajili ya mtihani wa somo la kompyuta utakao fanyika jumata...
19/09/2023

Wanafunzi wetu, wahitimu wa darasa la saba wakijifua vyema kwaajili ya mtihani wa somo la kompyuta utakao fanyika jumatano.
Ulimwengu umejaa mabadiliko makubwa sana haswa katika mawasiliano, sayansi na teknolojia. Je!
Mwanao anaposoma anaandaliwa kukabiliana nayo?
Hujachelewa bado, we njoo
0621153133/0657855394
24/7 hrs....

FURSA! FURSA! FURSA!Wajasiriamali wote, tarehe 23/09/2023. Mnakaribishwa sana kuja kufanya biashara eneo la shule kwa ut...
19/09/2023

FURSA! FURSA! FURSA!
Wajasiriamali wote, tarehe 23/09/2023. Mnakaribishwa sana kuja kufanya biashara eneo la shule kwa utaratibu utakao tolewa.
Watengenezaji wa chipsi
Wauzaji wa barafu, juice, n.k
Wauzaji wa mapambo, mataji,maua n.k
Wapiga picha binafsi.....
Karibuni sana, tugawane ridhiki.
Piga: 0657855394/0621153133 sasa.

19/09/2023

Tarehe 23/09/2023 ni sikukuu
Njooni wote kwa pamoja tuungane kuwaaga darasa la 7 wetu...
Nyote mnakaribishwa... Kwa idadi yoyote, karibuni tufurahi pamoja
Wasafi TV watakuwepo πŸ“ŒπŸ”¨

Habari za siku wapendwa?Uongozi wa shule tunayo furaha kuwafahamisha tena ya kwamba tarehe 23/09/2023 kutakuwa na mahafa...
16/09/2023

Habari za siku wapendwa?
Uongozi wa shule tunayo furaha kuwafahamisha tena ya kwamba tarehe 23/09/2023 kutakuwa na mahafali ya 13 ya kuwaaga wapendwa wetu waliohitimu darasa la saba.
Kila mmoja, ndugu, jamaa na marafiki wotee mnaombwa kuhudhuria bila ukomo wa idadi.
Karibuni sana πŸ™πŸ»

Tulianza salama na tunashukuu Mungu tumemaliza salama.... Tukutane jumamosi 23/09/2023
14/09/2023

Tulianza salama na tunashukuu Mungu tumemaliza salama....
Tukutane jumamosi 23/09/2023

Celebrating our new baby in town.... πŸ“ŒπŸ”¨
14/08/2023

Celebrating our new baby in town.... πŸ“ŒπŸ”¨

Address

Mtauja Street
Moshi

Telephone

+255621153133

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rose Pre & Primary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Rose Pre & Primary School:

Shortcuts

Share

Category