31/05/2026
π¬π©Ί Chuo cha Afya Kilema kinaendelea kuwajengea wanafunzi ujuzi wa vitendo kupitia maabara zenye vifaa vya kisasa, kuhakikisha wanahitimu wakiwa wataalamu wenye uwezo wa kutoa huduma bora za afya kwa jamii.
Elimu bora leo, huduma bora kesho.