
NSOO Secondary School
Comments
__________________________ Sharif ni mtaalamu wakubaini matatizo yako unapowasiliana nae tu na kukusomea dua popote ulipo duniani.
đź”–Je, Umeachwa na mke, mme, hawala, mchumba au unahisi unasalitiwa?
đź”–Je, unahitaji kupata mme mwenye uwezo mkubwa kifedha?
đź”–Je, kuna mtu unampenda lakini unashindwa kumwambia au ulienae hatimizi ahadi yoyote anayokupatia?
đź”–Je, wewe unahitaji kupata mpenzi mzungu, mwarabu, mhindi mwenye pesa?
đź”–Je, haupati kazi, biashara zako haziendi vizuri unavyotaka, Au umedhulumiwa mali mke, mirathi, kazi, mtoto, kiwanja, gari, nyumba, shamba, nk.
đź”–Je, umekuwa ni mtu wa kufeli katika masomo yako?
đź”–Je, Umefanya enterview nyingi bila mafanikio?
đź”–Je, umekuwa ukiliwa katika bahati nasibu? Mwone Sharif, atakusaidia ushinde bahati nasibu zote.
___________________________ 📌Usihuzunike SHARIF Athumani Issa Atakutatulia matatizo yako yote kwa muda wa masaa 3 tu
📌Pia anarudisha pesa zote ambazo zilichukuliwa kwa njia ya chuma ulete. Nakutoa pete ya bahati nakusafisha nyota ili uwe na mvuto wa hali ya juu.
________________________
___NJE YA NCHI NA NDANI HUDUMA HII UTAIPATA BILA WASIWASI.
♦KWANINI UHUZUNIKE?
♦KWANINI UTESEKE?
♦KWANINI UNAWAZA KUWA NISIWE K**A FULANI?
___________________________
WASILIANA NA SHEIKH SHARIF ATAKUSAIDIA KWA ASILIA 100 SIMU NO
WhatsApp no:+255 765040012
📞+255765040012
___________________________
****************************
The school is owned by Catholic Diocese of Moshi, its 13km from Moshi town to the way going Mweka Wi
Operating as usual


Karibu sana NSOO Secondari kwa elimu Bora
95.7% ya wahitimu wa 2022. Wamepata kujiunga na form 5 na Vyuo vya serekali. Hongera sana vijana wetu Mungu aendelee kuwatunza.

Wazazi Tunawashukuru kwa kushiriki kikao cha wazazi cha tarehe 13/05/2023. Tulishauriana, tumetiana moyo, na tunepanga kesho ya watoto wetu. Tukumbuke maneno ya Mungu wakaapo wawili au watatu nami nipo kati yao. Iongozi wa shule unaahidi tutajitahidi kutekeleza yale tuliyokubaliana kwa wakati. Tunashukuru kuwa na wazazi k**a nyie. Nawatakieni amani na upendo wa Kristo

Jumamosi ya Tarehe 18/03/2023. Tuliwatembelea Watoto wanaolelewa katika kituo cha Malezi Upendo. Tukashiriki nao Kile alichotujalia Mwenyezi Mungu. Ila zaidi tulicheza nao, tukafurahi nao na Tukacheka na kutabasamu noa. Mwenyezi Mungu aendelee kuwalina na kuwapa Matamanio ya Mioyo yenu. AMINA

Kwa Kutambua kuwa kwa kuchangia Damu tunaokoa maisha ya waTanzania wenzetu. Leo tumefanya jambo la kishujaa. Tunamshukuru Mungu kwa Kutuwezesha wana .

Tunamshukiru Mungu kwa Baraka Hizi

Tunawatakia watanzania wote matashi mema katika kushiriki ziezi la sensa ya watu Na makazi kwa Maendeleo ya Taifa letu. NSOO SEC SCHOOL Nsoo secondary school Friends

Nafasi ya Kujiunga Na Shule ya NSOO
Hamia NSOO Secondary School kidato cha 1 Na 3
Mkuu-0753186556
Makamu-0762 960 403
Ofisi-0755151407.

Wanafunzi wa NSOO secondary, tunawashukuru wanachama wa lejio Maria kwa kuanda na kushirikisha wanafunzi wengine. MUNGU na awape upeo wa kuona mahitaji ya wengine.

Siku ya Uzinduzi wa Campeni ya SOMA NA MTI shuleni kwetu iliyofanywa na balozi wa mazingira taifa ndugu Nestory Mushi. Tutafafanikiwa kupanda miti ya mbao 400. Miti ya kushika udongo pembezoni mwa mto 200. Na miti ya parachichi za kisasa (hass) miamoja. Tunaishukuru serekali kwa msaada wa miche ya miti na miongozo mingine kupitia kwa Balozi
Mazingira yangu, Nchi yangu, Nitaipenda Daima. Balozi wa mazingira akiwapa wanafunzi Hamasa

Debate kati ya NSOO secondary na SUNGU secondary iliyofanyika katika ukumbi wa NSOO SECONDARY tarehe 20/05/2022.

Debate kati ya NSOO secondary na SUNGU secondary iliyofanyika katika ukumbi wa NSOO SECONDARY tarehe

25/03/2022. Wenye blue Nsoo Sec wenye nyekundu Uru sec. Dakika chache kabla ya kuanza mechi ya netball katika viwanja vya Uru sec. Mechi ya ujirani mwema. Matokeo. Nsoo walifunga 1 na Uru wakafunga 4. Football Nsoo tukafunga 3 na Uru wakafunga4. Debate tukatoka sasawa kwa wingi wa point. Michezo ni Afya. Michezo ni Urafiki

Hapa ni Mlama secondary tulienda kushiriki michezo ya kudumisha urafiki na undugu. Matokeo kaya hivi tunamshukuru Mungu tulienda salama na tukarudi sak**a. Netball
NSOO 2 ,MLAMA 9
Football girls
NSOO 2,MLAMA 0
Football boys
Droo

Wanafunzi wetu wa 2021 waliofanya vizuri walikabidhiwa zawadi zao siku ya kikao wazazi kilichafanyika tarehe 14/05/2022. Mungu awaongoze vema katika maisha yenu. Mulitupa heshima kubwa sana NSOO.

Tupigie kwa Namba hizo 0755151407 yenye Majina ya NSOO SECONDARY SCHOOL inapatikana wakati wa muda wa Kazi.

Muonekano wa 2022
Mchuano huo kati ya Nsoo na Majirani zetu Sungu. Kwenye debate

Hapa ni Mlama secondary tulienda kushiriki michezo ya kudumisha urafiki na undugu. Matokeo kaya hivi tunamshukuru Mungu tulienda salama na tukarudi sak**a. Netball
NSOO 2 ,MLAMA 9
Football girls
NSOO 2,MLAMA 0
Football boys
Droo

Tar 5/03/2022 ilikuwa siku ya kutekeleza ahadi ya kuwapa trip k**a ishara ya kuwapongeza kwa kufanya vizuri katika mitihani yao ya kidato cha pili 2021. Hongereni Sana Na MUNGU awapiganie na kuwaongoza muingiapo na mtokapo. Hapo ni MATERUNI WATER FALL, Pazuri sana kwa day Trip. Pia nitumie nafasi hii kuwapongeza wazazi wa wanafunzi hawa kwa kuendelea kuwalea vema. MUNGU aendelee kuwatunza waalimu na walezi wengine wa NSOO waliowafikisha wanafunzi hawa hapa.

Tunamshukuru Mungu kwa mzazi huyu aliyefika kututia moyo kwa matekeo Mazuri ya mwanae na wanafunzi wengine kwenye mtihani wa kidato cha NNE 2021. Na kutuletea hii zawadi. Jumiiya ya NSOO secondary imefarijika sana kwa hili.

Tunamshukuru Mungu kwa wanafunzi hawa PRE- FORM ONE 2021. Wamemaliza salama na wamekamilisha kwa study tour kwakutembelea maporomoko ya maji ya Materuni iliyofanyika 9/12/2021

NSOO Secondary School
Tunawakaribisha Nsoo Secondary, Kwa elimu Bora na shirikishi.

Matokeo ya Nsoo secondary kidato cha nne 2020

Matokeo yetu ya kidato cha pili 2020

Wanafunzi@nsoo secondary wakisuka wavu kwa ajili ya Volleyball.

Tunasuka nyavu ya VolleyBall kwa anayehitaji tuwasiliane na NSOO Secondary School . hongereni vijana kwa kujiongeza.

Tunakushukuru MUNGU kwa kuanza na kumaliza nao Mitihani ya Taifa ya kidato cha pili 2021. Picha ya pamoja baada ya mtihani wa BOOK -KEEPING. MUNGU awalinde muingiapo na mtokapo
Click here to claim your Sponsored Listing.
Videos (show all)
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Moshi
P.O.BOX8053,MOSHI
Opening Hours
Monday | 07:30 - 04:30 |
Tuesday | 07:30 - 04:30 |
Wednesday | 07:30 - 04:30 |
Thursday | 07:30 - 04:30 |
Friday | 07:30 - 04:30 |
Bomang'ombe
Moshi, 25312
Ni shule iliyopo CCM Bomang'ombe inatoa huduma ya Elimu na malezi kwa watoto
Katanini
Moshi, 25115
This is an Official Facebook Account for Moshi Technical Secondary School Located in Moshi-Tanzania
Mweka
Moshi
Tunatoa Elimu bora kwa shule ya msingi, kuanzia Darasa la Awali hadi Darasa la saba, Bweni na kutwa
P. O BOX 8507
Moshi, 25104
Ni shule Bora kwa watahiniwa wa Kujitegemea K**a; - Resitters & QT (Masomo ya sekondari kwa miaka 2).
Majengo Moshi
Moshi, 0755733436
A newly established institution in Moshi Municipality offering unique courses designed to make peopl
Shanty Town
Moshi, 0000
Business School of Africa (BSA) is a private institution specializing in management training, resear