New life academy -Msaranga

New life academy -Msaranga New life academy ni shule inayopokea na kusajili watoto wadogo wenye umri wa mwaka 1 mpaka 4.

Shule imesajiliwa na inapatikana Msaranga-Moshi mjini,Shule ina mazingira mazuri na kuvutia.Ada ni nafuu .

03/01/2020
03/01/2020

New life academy ni shule inayopokea na kusajili watoto wadogo wenye umri wa mwaka 1 mpaka miaka 4.
Shule inapatikana Msaranga -Moshi mjini.
Shule ni kutwa na Ina madarasa ya kutosha
Nafasi ni chache wahi mapema .
Wasiliana nasi: 0769 151 801
Tunafundisha kwa kingereza tu.

Address

Msaranga
Moshi

Telephone

+255769151801

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when New life academy -Msaranga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category