Ezra Agro Vet studies.

Ezra Agro Vet studies. Jifunze zaidi kuhusu kilimo, biashara na ujasilia mali, na mambo mengine yote yahusuyo jamii kiujuml

17/10/2024

💪💪

Matombo Morogoro
06/06/2023

Matombo Morogoro

Hello Tanzania
06/10/2021

Hello Tanzania

02/12/2020
Kwa mchele Safi na wenye kiwango Bora kwa mlaji ni kampuni ya Dicklukala.co.ltdTunapatikana Ifakara Kilombero Morogoro m...
12/10/2020

Kwa mchele Safi na wenye kiwango Bora kwa mlaji ni kampuni ya Dicklukala.co.ltd

Tunapatikana Ifakara Kilombero Morogoro mtaa wa viwandani ifakara mjini.

29/07/2020

Hot culture

AgriGrow Tanzania LTD
19/06/2020

AgriGrow Tanzania LTD

10/03/2020

Ewe mkulima wa MPUNGA wa wilaya ya KIROMBELO MOROGORO pamoja na mazao mengineyo unajulishwa juu ya jukwaa la mkulima yaani UBIA SOKO linaloletwa kwenu na makampuni ya Agriinsight,Dicklukala na Twigalpha kwa kushirikiana na Baraza la kilimo Tanzania ACT (Agricultural Council of Tanzania).

UBIA SOKO ni jukwaa la kilimo linalohusika na shughuli za Kila siku za wakulima wanaoweza kujadili changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo ya familia zao(kilimo,afya,huduma za kifedha) na mazao husika yaliyo katika eneo husika.

Mkulima utajifunza kilimo bora Cha zao husika.
Mkulima ataomba au kuonyesha mahitaji yake ya kilimo kwa kutumia simu yake ya mkononi.
Kufaidika kuuza zao lake kwa Bei inayolipa gharama za uzarishaji. N.k

Tunawatakia maandalizi mema ya kujiandaa na usajili.

By Ubia soko.

Ramani ya banda la kisasa la kufugia kuku
10/01/2020

Ramani ya banda la kisasa la kufugia kuku

10/01/2020

Kwa palizi ya mpunga

Address

Viwanja Sitini, Ifakara
Morogoro

Telephone

+255625722189

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ezra Agro Vet studies. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Ezra Agro Vet studies.:

Shortcuts

Share