04/08/2026
MAHAFALI YA KWANZA ya chuo cha Unison Technical College (UTC)-MOROGORO, Tanzania.
REG/NACTVET/1432P.
Yaliyofanyika Tareh 01-Agosti 2026
Wahitimu katika Fani Mbalimbali wakiwa na Nyuso za furaha baada ya kutunukiwa Astashahada zao. Kozi zinazotolewa
KOZI ZA MUDA MREFU/LONG COURSES.
📌 Early Childhood Education and Care (Ualimu wa Nursery)
📌Information and Communication Technology (ICT/TEHAMA)
📌 Business Operation Assistant/Administration)
📌 Full Secretarial Course
📌 Hotel and Hospitality Management
📌 Front Office Operation
KOZI ZA MUDA MFUPI/SHORT COURSES
📍 Stationery and Office Management
📍 Ususi na Urembo (Hair Dressing and Beauty Therapy)
📍 Front Office Operation
📍 Basic and Advanced Computer Applications
📍 Graphics Designs
📍 Hotel Management
📍 Electrical Installation
📍 Chinese Language Level I, II & III
Kwa Maelezo zaidi: 0694213636 (Whatspp)
Piga: 0694213636/0703213636/
Email: [email protected]
"UJUZI NI AJIRA" See less