Early childhood experts

Early childhood experts We are dealing with early childhood education only, if you need anything concerned with that level contact us, thank you

09/09/2021

The CR Hope Foundation creates a platform to help youths pursue their education and grow, so they can

03/08/2021

Mtoto anweza kufanya vizuri zaidi K**a utampa wigo mpana wa kijieleza kwa watoto wenzake kwa jamii yake na hata kwa ndugu na jamaa wanao mzunguka, mbinu shirikishi ni Bora Sana katika ujifunzaji wa mtoto

30/06/2021

Mungu anasema waacheni watoto wadogo waje kwangu Wala msiwazuie maana ufalme wa mbinguni ni wao.
K**a mzazi jitahidi kuandaa mazingira mazuri kwa mwanao
Mungu akurinde

Send a message to learn more

Mtoto hujifunza lugha, matendo mbalimbali, na vitu mbalimbali katika mazingira yake kwa(I)  kuangalia nini jamii inayomz...
30/06/2021

Mtoto hujifunza lugha, matendo mbalimbali, na vitu mbalimbali katika mazingira yake kwa

(I) kuangalia nini jamii inayomzunguka unafanya, mfano mtoto wa k**e huangalia vitu anavyofanya mama ndo maana unaweza mkuta anabeba mdori mgongoni, anapika, na n.k na kwa mtoto wa kiume huangalia kutoka kwa baba,

(ii) Pia mtoto hujifunza kupitia nyimbo, hapa mtoto husikiliza nyimbo mbalimbali na kusikiliza maneno yaliyomo ndani ya nyimbo anazosikiliza, kwahiyo K**a wimbo una ujumbe mbaya hicho ndicho atakacho chukua.

Hizo ni njia baadhi ambazo mtoto hujifunza vitu mbalimbali katika mazingira yake, kwa hiyo K**a mzazi muandalie mtoto mazingira mazuri ili ajifunze vitu vya kumjenga na si vya kumuharibu baadae.

Una ruhusiwa kuuliza swali lolote linalo husiana na ukuaji wa mtoto, ujifunzaji wa mtoto na mengineyo, Ahsante

05/05/2021
Account hii ina wataalamu wa elimu ya awali ngazi shahada wenye uwezo wa kufundisha elimu ya awali na pia kufindisha wal...
09/02/2020

Account hii ina wataalamu wa elimu ya awali ngazi shahada wenye uwezo wa kufundisha elimu ya awali na pia kufindisha walimu wa ngazi ya diploma na ngazi ya cheti wa kada ya Elimu ya awali, na itakuwa inajihusisha na utoàji wa Elimu ya malezi ya watoto, kila wikendi tutakuwa tunatoa somo na maada tutakayo anza nayo ni:-

** AINA ZA MALEZI KATIKA
UKUAJI WA MTOTO**

Mtaalamu wako SHIJA MAKWAYA
Phone no, 0763082911

Address

Ifakara
Morogoro
0686855698

Telephone

+255686855698

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Early childhood experts posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Early childhood experts:

Shortcuts

Share

Category