Chuo cha Afya Hermargs

Chuo cha Afya Hermargs chuo ha Famasi ngazi ya certificate na diploma

Karibuni sana Chu Cha Afya Hermargs
17/07/2025

Karibuni sana Chu Cha Afya Hermargs

Karibuni katika Mahafali ya Chuo chetu itakayo fanyika siku Juma mosi tareh 19 July 2025Katika viwanja vya chuo Cha Afya...
17/07/2025

Karibuni katika Mahafali ya Chuo chetu itakayo fanyika siku Juma mosi tareh 19 July 2025
Katika viwanja vya chuo Cha Afya Hermargs Morogoro

Fanya maamuzi sahihi kwa kuchagua chuo cha Afya Hermargs Chuo kinatowa Kozi ya FAMASIA pamoja na SOCIAL WORK ( USTAWI WA...
30/06/2025

Fanya maamuzi sahihi kwa kuchagua chuo cha Afya Hermargs
Chuo kinatowa Kozi ya FAMASIA pamoja na SOCIAL WORK ( USTAWI WA JAMII)
**Sifa za kujiunga Famasia**
Uwe na D nne kidato Cha nne zikiwemo KEMIA na BIOLOGY
Fanya maombi Sasa kupitia Nactvet-central admissions system au pia simu no 0742759220
***Sifa za kujiunga Social work***
Uwe na D nne zozote zisizo kuwa za Dini
Fomu za kujiunga zinapatikana Chuoni Hermargs na kwenye website ya chuo ***www.hermargs.ac.tz***
Piga simu no 0742759220

Chuo kinatowa Kozi ya FAMASIA pamoja na SOCIAL WORK ( USTAWI WA JAMII)**Sifa za kujiunga Famasia**Uwe na D nne kidato Ch...
27/06/2025

Chuo kinatowa Kozi ya FAMASIA pamoja na SOCIAL WORK ( USTAWI WA JAMII)
**Sifa za kujiunga Famasia**
Uwe na D nne kidato Cha nne zikiwemo KEMIA na BIOLOGY
Fanya maombi Sasa kupitia Nactvet-central admissions system au pia simu no 0742759220
***Sifa za kujiunga Social work***
Uwe na D nne zozote zisizo kuwa za Dini
Fomu za kujiunga zinapatikana Chuoni Hermargs na kwenye website ya chuo ***www.hermargs.ac.tz***
Piga simu no 0742759220

Chuo cha Afya Hermargs kinatowa Kozi ya FAMASIA pamoja na SOCIAL WORK ( USTAWI WA JAMII)**Sifa za kujiunga Famasia**Uwe ...
27/06/2025

Chuo cha Afya Hermargs kinatowa Kozi ya FAMASIA pamoja na SOCIAL WORK ( USTAWI WA JAMII)
**Sifa za kujiunga Famasia**
Uwe na D nne kidato Cha nne zikiwemo KEMIA na BIOLOGY
Fanya maombi Sasa kupitia Nactvet-central admissions system auAll pia simu no 0742759220
***Sifa za kujiunga Social work***
Uwe na D nne zozote zisizo kuwa za Dini
Fomu za kujiunga zinapatikana Chuoni Hermargs na kwenye websia you te ya chuo ***www.hermargs.ac.tz***
Piga simu no 0742759220

Karibu chuo Cha Afya Hermargs ujiunge na Chuo chetuChuo kinatowa Kozi ya FAMASIA pamoja na SOCIAL WORK ( USTAWI WA JAMII...
18/06/2025

Karibu chuo Cha Afya Hermargs ujiunge na Chuo chetu
Chuo kinatowa Kozi ya FAMASIA pamoja na SOCIAL WORK ( USTAWI WA JAMII)
**Sifa za kujiunga Famasia**
Uwe na D nne kidato Cha nne zikiwemo KEMIA na BIOLOGY
Fanya maombi Sasa kupitia Nactvet-central admissions system au pia simu no 0742759220
***Sifa za kujiunga Social work***
Uwe na D nne zozote zisizo kuwa za Dini
Fomu za kujiunga zinapatikana Chuoni Hermargs na kwenye website ya chuo ***www.hermargs.ac.tz***
Piga simu no 0742759220

Ndoto zako zitatimia ukiwa sehemu salama yenye kujali unacho kifanyaKaribu chuo Cha Afya Hermargs ujiunge na familia yen...
08/06/2025

Ndoto zako zitatimia ukiwa sehemu salama yenye kujali unacho kifanya
Karibu chuo Cha Afya Hermargs ujiunge na familia yenye upendo
Chuo kinatowa Kozi ya FAMASIA pamoja na SOCIAL WORK ( USTAWI WA JAMII)
**Sifa za kujiunga Famasia**
Uwe na D nne kidato Cha nne zikiwemo KEMIA na BIOLOGY
Fanya maombi Sasa kupitia Nactvet-central admissions system au pia simu no 0742759220
***Sifa za kujiunga Social work***
Uwe na D nne zozote zisizo kuwa za Dini
Fomu za kujiunga zinapatikana Chuoni Hermargs na kwenye website ya chuo ***www.hermargs.ac.tz***
Piga simu no 0742759220

Wanafunzi wa Ustawi wa Jamii Wasaidia Watoto wa Kinyenze Wanafunzi wetu wa mwaka wa tatu katika fani ya Ustawi wa Jamii ...
21/01/2025

Wanafunzi wa Ustawi wa Jamii Wasaidia Watoto wa Kinyenze

Wanafunzi wetu wa mwaka wa tatu katika fani ya Ustawi wa Jamii wa Chuo cha Afya Hermargs wamefanikiwa kubuni na kutekeleza mradi wa kusaidia watoto wa shule ya msingi Kinyenze.

Mradi huo ulilenga kushughulikia changamoto za mahudhurio hafifu shuleni, ukosefu wa vifaa vya kujifunzia, na matatizo ya kiafya kwa watoto.

Kupitia hafla ya kuchangisha fedha tarehe 18 Januari 2025, wanafunzi hao walikusanya Tsh 570,000 zilizotumika kufungua bima za afya za afya kwa watoto wenye matatizo ya kiafya, kuwapatia wazazi elimu kuhusu umuhimu wa elimu, na kutatua changamoto mbalimbali za wanafunzi.

Hafla hiyo iliambatana na ukaribisho wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza na ilihudhuriwa na Mkurugenzi wa Chuo, Prof. Robinson Mdegela, pamoja na uongozi wa chuo.

Mradi huo umeonyesha juhudi za vitendo katika kuboresha ustawi wa jamii na ushirikiano mzuri baina ya chuo chetu na watanzania kwa ujumla.

Address

S. L. P 3086
Morogoro
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chuo cha Afya Hermargs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Chuo cha Afya Hermargs:

Shortcuts

Share