TSCA

TSCA Education and services

25/07/2024

Kaka naomba Whatsapp number yako

09/09/2021
Je umewahi kufikilia kuhusu kilimo cha mjini?
22/08/2021

Je umewahi kufikilia kuhusu kilimo cha mjini?

Nini kifanyike ili kuwavutia vijana wa kitanzania kwenye kilimo.
21/08/2021

Nini kifanyike ili kuwavutia vijana wa kitanzania kwenye kilimo.

Kuna aina nyingi sana za ndizi,  na kilimo chake kinatofautiana kutoka na sehemu moja hadi nyingine,  mfano mzuri kilimo...
08/08/2021

Kuna aina nyingi sana za ndizi, na kilimo chake kinatofautiana kutoka na sehemu moja hadi nyingine, mfano mzuri kilimo cha ndizi mkoani kagera na kilimo hicho mkoani Kilimanjaro, tuambie ni aina ipi ya ndizi unayoifahamu , na toka mkoa gani?

  mwaka huu tutasherehekea sikukuu ya wakulima 8/8 na embe lenye kilo 2
08/08/2021

mwaka huu tutasherehekea sikukuu ya wakulima 8/8 na embe lenye kilo 2

Kilimo ni kilakitu kwetu,  hata k**a unaishi maeneo ya mjini ambapo hakuna mashamba ya kulima,  unaweza tumia njia hii, ...
24/01/2021

Kilimo ni kilakitu kwetu, hata k**a unaishi maeneo ya mjini ambapo hakuna mashamba ya kulima, unaweza tumia njia hii, ni rahisi sana na haina gharama kubwa

Kufanikiwa zaidi katika kilimo inategemea Sana ujuzi, mipango na mbinu unazotumia kwenye kilimo chako... Jambo la neema ...
15/01/2021

Kufanikiwa zaidi katika kilimo inategemea Sana ujuzi, mipango na mbinu unazotumia kwenye kilimo chako... Jambo la neema ni kwamba kilimo kinakubali katika mazingira yoyote. Nijuku la mkulima kutambua aina ya mazao yanayo kubali katika eneo alilopo, aina na tabia ya udongo, misimu ya mvua, nk pia kuwashilikisha wataalam wa kilimo ili kupata msaada, ujuzi na ushauri.

Viazi Lishe vinamanufaa makubwa sana kwa mwili wa mwanadamu machache kati ya hayo ni-* Chanzo cha madini ya chuma (potas...
12/01/2021

Viazi Lishe vinamanufaa makubwa sana kwa mwili wa mwanadamu machache kati ya hayo ni-
* Chanzo cha madini ya chuma (potassium na kalssium)
*Chanzo vitamini A, B, C na D.
*Huboresha afya ya mtoto aliye tumboni kwa Mama.

Kheri ya Mwaka mpya, ukawe mwaka wa Mafanikio, Furaha na Amani.
01/01/2021

Kheri ya Mwaka mpya, ukawe mwaka wa Mafanikio, Furaha na Amani.

FAHAMU ZAIDI KUHUSU MAHARAGE LISHE Maharage lishe ni mbegu bora inauwezo wa kumea katika mazingira yeyote k**a ukizingat...
29/12/2020

FAHAMU ZAIDI KUHUSU MAHARAGE LISHE

Maharage lishe ni mbegu bora inauwezo wa kumea katika mazingira yeyote k**a ukizingatia sehemu husika k**a kuna maji sehemu ya uwazi na udongo
Kilimo cha maharage inategemeana na sehemu kuna mbegu nyingine ukipanda mavuno yake ni hafifu na muda mwingine usipate
Hii ni kulingana na aina ya udongo
Pia udongo ni mojawapo ya kitu cha kuzingatia kabla ya kupanda maharage
Leo nataka tuangazie kuhusu maharage lishe
Ni aina ya mbegu ya maharage ambayo ina mavuno mengi na inastawahi katika mazingira yenye wastani ya mvua na jotoridi ya kawaida.

Haishambuliwi na magonjwa na wadudu kwa haraka.

Faida yake ni yapi.
Kwa wamama wajawazito inawazaidia kupata madini ya chuma na zink pindi mama anabeba mimba anashauriwa kutumia maharage lishe kwa ajili ya madini ya chuma.
Maharage lishe pia ni protini
Inaongeza mbolea shambani sehemu k**a shamba lina kiwango kidogo cha mbolea ukipanda maharage inaongeza kiwango cha
mbolea shambani.

Maharage lishe soko ni la uhakika kila siku uhitaji wa maharage inahitajika.
Ukizingatia kilimo cha kisasa katika heka moja utapata mavuno mengi ukilinganisha na upandaji wa kiholela
Tafiti zinaonyesha kuwa zao la maharage katika Tanzania walio wengi wanaolima ni wanawake kulingana wengi tunalima kwa ajili ya chakula.
Tukiekeza kwenye kilimo cha kisasa cha maharage tutaweza kuuza katika soko la ndani na nje kiwango kikubwa kinahitajika kwa ajili ya lishe.

Mdau wa kilimo hii ni fursa yako unaweza kuanza kidogo nusu heka
Heka moja ama tano au kumi
Usipate shaka ya soko ipo.
Karibu kwa maoni.

unaifahamu  BROKOLI??,  hii ni mboga na wachache sana wamewahi itumia , , , twende pamoja sasaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡wataalamu wanasem...
28/12/2020

unaifahamu BROKOLI??, hii ni mboga na wachache sana wamewahi itumia , , , twende pamoja sasaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

wataalamu wanasema kwamba ni moja ya mboga rahisi mno kupanda, hustawi vizuri maeneo yasiyopokea kiwango cha mvua ya kuikidhi, mfumo wa kunyunyizia mimea maji kwa mifereji utafanikisha kilimo chake, kwakua Brokoli zinahitaji maji mfululizo ili kuzinawirisha na kupata mazao bora,

upandaji wakeπŸ‘‡πŸ‘‡

Brokoli hupandwa mbegu moja kwa moja au kupitia miche. Aidha, miche inachukua karibu muda wa wiki sita kitaluni. Matunzo yake yanawiana na ya kabichi au mboga zingine zinazopandwa kupitia miche.Watalaamu wa masuala ya kilimo wanashauri kuweka madini mengi ya Nitrogen na Potassium. Mkulima anahimizwa kabla ya kupanda, aweke mashimo mbolea hai kwani imesheheni Nitrogen, Phosphorous na Potassium. Inapaswa kuwa iliyoiva sawasawa,(decomposed).

Palizi ni shughuli muhimu katika kilimo cha brokoli. k**a ilivyo kwa kabichi, brokoli pia hushambuliwa na wadudu k**a viwavi

zao hili huanza kuvunwa kati ya siku 45 – 60, baada ya kupandwa.

FAIDAπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

√ Brokoli ni chanzo kizuri cha nyuzinyuzi (fibre) ambazo ni muhimu katika kusaidia mmeng'enyo wa chakula mwilini.

√ hupunguza kiwango cha mafuta ya cholesterol.

√ Virutubisho vingine ni Vitamini C, Protini, Potassium na Calcium; madini yanayosaidia kuimarisha mifupa.

√ pia, Wenye shida ya ugonjwa wa Kisukari, wanahimizwa kula brokoli kwa wingi kwani huudhibiti.

Naamini tutakua tumejifunza machache na ya msingi juu ya huu mmea au mboga BROKOLI

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TSCA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share