13/01/2021
Bissmillahr rahmanir rahiim
MAADILI KTK UISLAMU
Vipengele vya tabianjema
(1)Kujielimisha kwaajili ya Allah Elimu ndio zana aliyotunukiwa mwanadamu ili aitumie kutekeleza majukumuyake k**a khalifa wa Allah.Jambolakwanza alilopewa baba yetu Adam(a.s)Baadayakuumbwa ni ELIMU:-...ูุนูู
ุกุงุงูุฃุณู
ุงุกฺฉููโุง
"Na(Allah (s.w))akamfundisha Adamu majina ya vitu vyote...(2:31) na Elimu ndio jambo lakwanza kupewa hata Mtume (s.a.w) uk:ktk suuratul alkhalaq (96:1-5).,(2)kuwa na hekma:- kwa uchache hekma n kuhukumu uamuzi stahiki wenye majibu chanya kwakuzingatia wati mazingira mahala na muongozowake kwa kuchunga maelekezo ya vitabu na sunnah kulingana na mipaka ya Allah (s.w) Uk:-(2:269). Allah humpa hekma amtakae...
(3)Ikhlas:-kufanya kila jambojema kwaajili ya Allah...! Uk (76:8-10)pia uk(92:17-21)pia uk(6:79)pia uk (6:162-163)n.k (4)Kujiepusha na Riha na Kujiona:-Ria n kinyume cha Ikhlas. Na mwenyekufanyaria ata akiwa muislamu bas hana malipo yoyote uk(11:15-16)pia(107:4).,(5)Kuepuka UNAFIKI Mnafki ni yule anaeukubali Uislamu mdomoni tu... Wenyesifa tajwa ktk suuratul albaqara uk(2:8-9)pia(4:145) n.k
(6)Kua Mkweli:-Ukweli n uhakika wa jambo..uk(9:119)"Msemakweli n mpenzi wa Mungu(Allah)"uk(5:119),(33:53)nk
(7) Kujiepusha na Uwongo:-Uongo ni kinyume cha ukweli uk(17:81)"Nasema: Ukweli umefika na Uwongo ume..." (8)Kuwa Muaminifu (kuchunga Amana):-Amana ni uaminifu.kuchunga uaminifi uk:-(33:72)"Kwa hakika sisi tulidhihirisha Amana juu ya mbingu na ardhini na milima..."pia Amana imezungumzwa na kueleza ktk aya mbalimba za Qur an Uk(6:162-163),(8:27-28),(23:1)n.k Ziko sehemu nyingi za kuchunga Amana. Ikiwemo :-
AINA ZA AMANA
Uongozi,Madaraka,Uchaguzi,Kazi,Mali ya Umma,Siri,Kuwa muadirifu,Kuchunga AHADI. {AHADI Ikiwemo :- Deni ni ahd,Nadhiri n ahd na Mikataba ni AHADI.},Kuwa na kauli Njema uk:qur an(41:33),(17:53)pia(16:125)n.k na Hadithi mbalimbali zimezungumzia nmn ya kua na kauli Njema. MfanoSahl bin Sa'd(r.a) ameelezakua Mtume amesema"...ITAENDELEA inshallah.