BANTU OPEN School

BANTU OPEN School This is official page of Bantu open School

Haya ndiyo matokeo ya wanafunzi wetu waliomaliza kidato Cha sita 2023
13/07/2023

Haya ndiyo matokeo ya wanafunzi wetu waliomaliza kidato Cha sita 2023

26/05/2023

Miongoni mwa vijana wetu waliomaliza kidato Cha sita wakiwa katika picha ya pamoja walipo watembelea watoto Yatima kabla ya kuanza mitihani yao

Masomo yanaendelea Bantu kwa wale waliokosa nafasi za kidato Cha watu mnakaribishwa Bantu kutimiza ndoto zetuπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ
19/07/2022

Masomo yanaendelea Bantu kwa wale waliokosa nafasi za kidato Cha watu mnakaribishwa Bantu kutimiza ndoto zetuπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ

Ni Bantu pekee shule ya viwango karibuni kwa masomo ya sekondari kwa ngazi zoteπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ
15/07/2022

Ni Bantu pekee shule ya viwango karibuni kwa masomo ya sekondari kwa ngazi zoteπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ

03/07/2022

Habari...!!! Shule ya Bantu inawakaribisha nyote wenye uhitaji wa elimu kuanzia Pure form one,Qt,Pure form three,Form Four, Resiters,Form six kwa mwaka mmoja au miaka miwili kipo darasa la Five special kwa wale wenye C mbili
Karibuni tusome Bantu kwa maendeleo Wakati huu na ujao
Mawasiano 0676401970πŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ

Hujachelewa karibu Sana Bantu
15/06/2022

Hujachelewa karibu Sana Bantu

15/06/2022

Usidanganyike na vituo vya mchongo habari ya mjini ni Bantu pekee Utapata kila unachohitaji Qt, Resiters,Form six kwa mwaka mmoja nk njoo Bantu ufurahie maisha ya elimu

Karibu Bantu kwa masomo ya secondary
15/06/2022

Karibu Bantu kwa masomo ya secondary

Habari...!! Shule ya Bantu bado inawakaribisha watu wote katika masomo ya secondary kuanzia kidato Cha kwanza Hadi Cha s...
15/06/2022

Habari...!! Shule ya Bantu bado inawakaribisha watu wote katika masomo ya secondary kuanzia kidato Cha kwanza Hadi Cha sita Qt na Resiters Nafasi bado zipo Ada zetu ni nafuu na unaweza kulipa kwa awamu Hadi nne Hostel zipo kwa watakao hitaji

Address

Nanenane
Morogoro
BATUSCHOOL

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Saturday 07:00 - 20:00

Telephone

+255755376805

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BANTU OPEN School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to BANTU OPEN School:

Shortcuts

Share

Category