Pamoja Girls Secondary

Pamoja Girls Secondary Shule Ya Wasichana,
Location: Ruvu- Pwani
TEL: 0740363890 au 0621 216 41
"Excellence Through Innovation and Integrity"

18/02/2025

Usiulize wapi utapata shule bora kwa ajili ya malezi na taaluma kwa bint yako.
Pamoja Girls ndio suluhisho lako , wahi sasa tujenge kesho ya mtoto atimize malengo yake.

16/02/2025

Pamoja Girls Secondary School
Nyumbani kumenoga unasubir nini..!
Mlete mwanao, Ndugu,Jamaa, Rafiki.

Karibuni sanaaaaaaa

NAFASI ZA MASOMO YA KIDATO CHA KWANZA 2025 PAMOJA GIRLS SECONDARY SCHOOLShule ya kisasa ya wasichana iliyosajiliwa kwa N...
16/02/2025

NAFASI ZA MASOMO YA KIDATO CHA KWANZA 2025 PAMOJA GIRLS SECONDARY SCHOOL

Shule ya kisasa ya wasichana iliyosajiliwa kwa Namba S. 6673 iliyopo wilayani Kibaha, Mkoa wa Pwani, jirani na kituo cha Treni ya eneo la Ruvu.

Shule hii ya kipekee imejikita katika kuwapatia wanafunzi Taaluma bora, Malezi mema na Stadi za ubunifu katika Sayansi na Teknolojia ili kukabiliana na changamoto za sasa

MASOMO YANAYOFUNDISHWA*๐Ÿ”ฐ
๐Ÿ“š
๐Ÿ“š
๐Ÿ“š
๐Ÿ“š
๐Ÿ“š ya Kiislamu

FOMU ZA KUJIUNGA๐Ÿ–Š๏ธ
Zinapatikana kwa mawakala wetu nchi nzima. Pia unaweza kudownload au kujaza online kwenye website ya shule. www.pamojagss.co.tz

Wasiliana nasi:-
TEL:0621216414
TEL: 0740363890
TEL:0657122182
Email: .com

_Nyote mnakaribishwa

Address

Ruvu
Mlandizi

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 16:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pamoja Girls Secondary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share