Kilangalanga Sekondari Alumni

Kilangalanga Sekondari  Alumni Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kilangalanga Sekondari Alumni, kilangalanga, Mlandizi.

This page is special for the students who studied at kilangalanga from 1995 up to now,so please you are invited to join our official page from kilangalanga secondary...your warmly welcome.

Form four 2020 at kilangalanga secondary school with their teacher's.....welcome to the hub of academic excellence.
17/12/2020

Form four 2020 at kilangalanga secondary school with their teacher's.....welcome to the hub of academic excellence.

26/04/2020

Listen......

Ratiba ya masomo kwa kidato cha sita kupitia television ya Taifa TBC1 tuwasaidie kupata taarifa ili waweze kufuatilia ma...
26/04/2020

Ratiba ya masomo kwa kidato cha sita kupitia television ya Taifa TBC1 tuwasaidie kupata taarifa ili waweze kufuatilia mafundisho hayo.

Kwa wazazi/ walezi ambao hawana king'amuzi cha azam unaweza kupata mafunzo hayo ya masomo kupitia YouTube  channel ya Ta...
20/04/2020

Kwa wazazi/ walezi ambao hawana king'amuzi cha azam unaweza kupata mafunzo hayo ya masomo kupitia YouTube channel ya Taasisi ya elimu Tanzania.

Ratiba ya masomo kwa darasa la pili na la nne pia kidato cha pili na nne kupitia king'amuzi cha azam channel namba 100. ...
20/04/2020

Ratiba ya masomo kwa darasa la pili na la nne pia kidato cha pili na nne kupitia king'amuzi cha azam channel namba 100. Naomba tuwape wanafunzi wa madarasa hayo kuangalia hicho kipindi. Tunawatakia kila la kheri.

Wanafunzi wa kidato cha nne mliohitimu mwaka 2019 kwa wale mliofaulu kuanzia daraja la kwanza hadi la tatu mnakumbushwa ...
19/04/2020

Wanafunzi wa kidato cha nne mliohitimu mwaka 2019 kwa wale mliofaulu kuanzia daraja la kwanza hadi la tatu mnakumbushwa kuwa Leo ndo mwisho wa kubadili machaguo/tahasusi/vyuo kulingana na ufaulu wako...wazazi na walezi mnakumbushwa kuwasaidia ili waweze kufanya machaguo sahihi kwao.
Tunawatakia weekend njema.

16/04/2020

Tunatizamia kutengeneza group la kilangalanga alumni ambalo litahusu wanafunzi wote waliosoma kilangalanga sekondari,hivyo link itawekwa kupitia ukurasa huu ili wote waliosoma kilangalanga wajiunge.

Wazazi/walezi mnaombwa kuwasaidia wanafunzi kuingia Kwenye makitaba mtandao ya TET ili wapate kujisomea wakati huu wakiw...
16/04/2020

Wazazi/walezi mnaombwa kuwasaidia wanafunzi kuingia Kwenye makitaba mtandao ya TET ili wapate kujisomea wakati huu wakiwa nyumbani.

Happy Easter Sunday.....
12/04/2020

Happy Easter Sunday.....

Mkuu wa shule ya sekondari kilangalanga akiwa na mwanafunzi julieth Clement mpuya ambae alishinda uandishi wa insha na k...
14/12/2019

Mkuu wa shule ya sekondari kilangalanga akiwa na mwanafunzi julieth Clement mpuya ambae alishinda uandishi wa insha na kuhudhuria mkutano wa SADC pamoja na mwalimu wake lazzaro kapinga wakiwa ofisi za wizara ya elimu,dodoma kupokeà zawadi za ushindi.

Form five students with the school Headmaster taking a short project together.
17/10/2019

Form five students with the school Headmaster taking a short project together.

17/08/2019

Hongera kwa mwanafunzi julieth mpuya kidato cha kwanza 2019 kilangalanga sekondari kushinda tuzo ya umahiri wa uandishi wa insha,ameshika nafasi ya tatu,tuzo hiyo amepokea Kwenye mkutano wa SADC mbele ya Marais wakuu wa nchi wa jumuiya hiyo. Hongera sana.

Address

Kilangalanga
Mlandizi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilangalanga Sekondari Alumni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Kilangalanga Sekondari Alumni:

Shortcuts

Share