Ramsy Mhini

Ramsy Mhini share knowledge with me

Kuna wakati unajaribu kujadiri uwezo wa chama, huyu ni mtu ambae kaja duniani kwa sababu maalum tu kuja kuburudisha mash...
01/09/2022

Kuna wakati unajaribu kujadiri uwezo wa chama, huyu ni mtu ambae kaja duniani kwa sababu maalum tu kuja kuburudisha mashabiki wa mpira

Duniani chama ni mmoja ambae anauwezo wa kupiga chenga kwa utulivu kwenye box, huyu kijana anaposhika mpira ni mithiri ya sumaku inayokinzana

Ukiangalia mikimbio yake uwanjani utafikiri ni kinyonga ambae hataki kwenda mbele lakini anakuja kuleta madhara ambayo hukutarajia

Kijana ambae anauwezo wa kutengeneza mabao mengi atakavyo,

Unapozungumzia kiungo cha mboga yeye ni chumvi analeta radha inayostahili kutokana na chakula.

Huyu jamaa k**a kaondoka n taqwimu sahihi mniite ngedele nko palee
30/08/2022

Huyu jamaa k**a kaondoka n taqwimu sahihi mniite ngedele nko palee

Msichana mmoja aitwae miriam alikuwa na tabia ya kuingia chumbani kwa baba yake bila kugonga hodi, sasa siku moja anaing...
27/08/2022

Msichana mmoja aitwae miriam alikuwa na tabia ya kuingia chumbani kwa baba yake bila kugonga hodi, sasa siku moja anaingia haraka akamkuta baba yake yupo uchi wa mnyama ,*akashangaaa haaaah* huku ameduaa akakimbia hadi nje sasa ile hali ikaanza mjengea uoga moyon mwake akikaa na baba yake karibu anashindwa kujiamini.

Ikafanya mama awe na shaka na mtoto wake yaweza kuwa kaanza mchezo mbaya na baba yake sasa mama akaamua aweke mtego siku nyingine asubh akaaga kuwa anaenda sokoni akapitia chumbani kwa mawanae na kumwambia ukiamka kachukue pesa kwa baba ako ukanunue sabuni natoka kidogo.

Basi mtoto alivyoamka moja kwa moja hadi chumbani kwa baba yake akaingia k**a kawaida yake anamkuta baba kalala huku baba akionekana sehm zake za mwili wazi "oooh mtoto akaanza kutamani kuwa na baba yake , akasogea hadi kitandani na kumuamsha baba yake , baba akakurupuka kutoka usingzini, " unasemaje? "Mama kasema nipe hela nikanunue sabuni dukani," huku aking'ata kucha zake baba akampa pesa ila na yeye tayari ashaanza tamaa,

Sasa siku zikasogea inafika wakati baba anahamisha mapenzi yake sana kwa mwanae miriam mwenye miaka 19 anaeonekana kuwa mweupe, mwenye umbile la namba nane. Baba anapenda kutoka sana na mtoto wake "wazungu wanaita out" kuliko mke wake .

Mama akagundua baba mtu anatoka na mtoto, sku chache baadae mtoto akaanza kutapika ovyoo kuja kupima ni mjamzito, mama alishndwa kuvumilia akamkata baba panga mtoto na akajiua na yeye mwenyewe

story #

Address

Mlandizi
000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ramsy Mhini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Ramsy Mhini:

Shortcuts

Share