Mizpah Health Institute Tz

Mizpah Health Institute Tz This is an official page of MIZPAH HEALTH INSTITUTE TANZANIA
Located in Misungwi Mwanza, Tanzania
Email: [email protected]
Contact: +255 742 268 505

K**a mzazi au mlezi kumpa mwanao elimu bora ni kipaumbele bila kupinga. K**a Mwanafunzi kuchagua taaluma sahihi na chuo ...
11/06/2025

K**a mzazi au mlezi kumpa mwanao elimu bora ni kipaumbele bila kupinga.

K**a Mwanafunzi kuchagua taaluma sahihi na chuo Bora kina kufungulia fursa nyingi za kukua kitaaluma na ajira pia.

Chuo cha Mizpah Health Institute ni sehemu sahihi ya kupata na kukua katika taaluma ya uuguzi na ukunga Tanzania.

KWANINI UJIUNGE KWETU
✅Chuo kilichosajiliwa REG/HAS/267.
Tunapozungumzia elimu bora;
✅Mazingira ya utulivu na usalama
✅Chuo kina miundombinu stahiki
✅Maabara ya kupata ujuzi wa vitendo,
✅Maabara ya computer kumjengea Mwanafunzi uwezo wa tehama,
✅Maktaba zilizosheni vitabu na research journals,
✅Hosteli ya kisasa BURE zenye ulinzi
✅Godoro BURE
✅Ada ni nafuu Sana na inalipwa kwa awamu nne.
🌍Chuo kinamuandaa muuguzi mwenye uwezo wa kimataifa Kupitia ubia na vyuo vya uuguzi vya Marekani kinachompa Mwanafunzi ujuzi Mpana zaidi!

📒K**a unawaza sehemu sahihi ya taaluma ya Uuguzi Tanzania basi ni sehemu moja tu Mizpah Health Institute.
Wasiliana nasi SASA!
0658 70 45 70

20/08/2024

Address

P. O Box 85, Mbela Street
Misungwi

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:30
Tuesday 08:00 - 16:30
Wednesday 08:00 - 16:30
Thursday 08:00 - 16:30
Friday 08:00 - 16:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mizpah Health Institute Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share