xavi_sanga_24xxs

xavi_sanga_24xxs Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from xavi_sanga_24xxs, Education, Misungwi.

Ilani Ya Uchaguzi ya CCM Ya Mwaka 2015-2020 imetekelezwa kwa Asilimia kubwa Sana Na Imeleta matokeo Chanya kwa Taifa la ...
30/09/2020

Ilani Ya Uchaguzi ya CCM Ya Mwaka 2015-2020 imetekelezwa kwa Asilimia kubwa Sana

Na Imeleta matokeo Chanya kwa Taifa la Tanzania maendeleo ya kiuchumi,Huduma za Jamii,Michezo,Biashara,Miundombinu nk.

Sasa CCM imekujan na Ilani nyingine ya Uchaguzi ya Mwaka 2020-2025 Ilan Imejipambanua vyema Sana Ikieleza ni Namna Gani Taifa la Tanzania litakuwa maradufu na Kuongeza Unafuu wa Maisha Kwa Wananchi Wake Chini ya Uongozi Wa Mwenyekiti Wa CCM Taifa Dkt John Joseph Pombe Magufuli.

Tarehe 28-10-2020 Chagua Magufuli chagua CCM

22/09/2020

Address

Misungwi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when xavi_sanga_24xxs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category