Tanzania Entrepreneurship Development Institute - TEDI

Tanzania Entrepreneurship Development Institute - TEDI

MyLab brings in Business Ideas, incubate and transforms them into startups. We provide comprehensive business training, help develop prototypes and link the same to investors.

Come and graduate with your business company at hand. TEDI Is a registered Institution expected to launch its operations in April 2015. We will mostly base on providing leadership and entrepreneurship education to youngsters. We are currently conducting short courses on PERSONAL DEVELOPMENT TRAINING (Public speaking, leadership, stress management, time management and entrepreneurship). And other i

Operating as usual

hbr.org 27/07/2018

What Is a Business Model?

MODELI YA BIASHARA: Ina sehemu kuu mbili

1. BIDHAA/HUDUMA: Sehemu ya kwanza inahusu shughuli zote zilizopangwa/zinazofanywa na mjasiriamali ili kutengeneza bidhaa/huduma husika.

2. UUZAJI: Sehemu ya pili inahusiana na uuzaji wa hiyo bidhaa au huduma uliyoiunda. Unapata wapi wateja? Unawapata kwa namna gani? Unauzaje bidhaa yako? n.k.

https://hbr.org/2015/01/what-is-a-business-model?referral=03759&cm_vc=rr_item_page.bottom

hbr.org

18/11/2016

Timeline Photos

18/11/2016

Timeline Photos

wilfredngajilo.weebly.com 25/09/2016

wilfred ngajilo

wilfredngajilo.weebly.com Kodiak Island ​ Edit this text to make it your own. To edit, simply click directly on the text and start typing. You can move the text by dragging and dropping ​the Text Element anywhere on the...

15/11/2015

The future of AFRICA depends on how governments invest in Young generation, now there comes YALI REGIONAL LEADERSHIP CENTER EAST AFRICA-NAIROBI. I am very happy to be one of the youths from burundi, rwanda and uganda and kenya it is fantastic.

[09/09/15]   TANGAZO;

#TANZANIA ENTREPRENEURSHIP DEVELOPMENT INSTITUTE (TEDI) Ni taasisi iliyojikita kutoa elimu ya ujasiriamali kwa vijana na watanzania wote.

Kuanzia tar. 14/9/2015 kwa kushirikiana na ofisi ya mkuu wa wilaya ya Mbeya tutaanza mafunzo ya URASIMISHAJI UPIMAJI WA MAENEO NA UTOAJI WA HATI MILIKI ZA KIMILA KWA KUTUMIA VIWEZESHI MBALIMBALI VYA KIJIOGRAFIA K**A GPS, GIS, AUTOCARD na mengineyo kwa vijana waliohitmu kidato cha nne, wanaosoma vyuo vikuu na ambao wapo likizo kwa sasa. Mafunzo haya ya ni muda wa wiki mbili hadi tatu na yatamuwezesha kijana kujiajiri.

Usajili Unaendelea

EARLY BIRD REGISTRATION: Ada ni sh. 200,000.00 hawa watapata breakfast, lunch na vinywaji wakati wa mafunzo pamoja na certificate of attendance zitakazotolewa na ofisi ya mkuu wa wilaya ya Mbeya.

POST BIRD REGISTRATION: Ada ni sh. 100,000 hawa watapata handouts of the training materials, vinywaji (maji) na vyeti vya mahudhurio tu.

Wahi nafasi ni chache

Karibuni Nyote

Kwa mawasiliano: 0768 185 362

02/06/2015

Jim Rohn

"Practice is just as valuable as a sale. The sale will make you a living; the skill will make you a fortune." -- Jim Rohn

26/05/2015

Zig Ziglar

Accept what is, let go of what was, and have faith in what will be.

26/05/2015

Jim Rohn

"Human beings have the remarkable ability to turn nothing into something. They can turn weeds into gardens and pennies into fortunes." -- Jim Rohn

26/05/2015

Jim Rohn

"Neil Armstrong once said, ‘You only have to solve two problems when going to the moon: first, how to get there; and second, how to get back. The key is don’t leave until you have solved both problems.’" -- Jim Rohn

b-gat.es 25/05/2015

Beach Reading (and More)

Great people read a lot

b-gat.es Bill Gates shares a list of books you might enjoy reading this summer.

[05/22/15]   TEDI ni taasisi iliyojikita kutoa elimu kwa mfumo wa uongozi na ujasiriamali. Kwa kuzingatia idadi kubwa ya vijana wanaohitimu toka vyuo mbalimbali nchini na nafasi za ajira zikiwa ni chache vijana hawana budi kujiandaa kukabili changamoto za ulimwengu wa uongozi na ujasiriamali, vijana hawana budi kuwa wajuzi na wabunifu ili kujiletea maendeleo yao wenyewe. K**a unahitaji kuwa na mtazamo wa kijasiriamali na kiuongozi TEDI ni jibu lako.
Pamoja na course nyingine (BUSINESS & MARKETING MANAGEMNET, INFORMATION TECHNOLOGY (COMPUTING), COMMUNITY & SOCIAL DEVELOPMENT) kutakuwa na program maalumu za kuwandaa vijana kuwa wajuzi na wabunifu na wenye uwezo wa kutumia kile walichokisoma kwa maendeleo yao wenyewe. Program hizo ni k**a,

1. EXTENSIVE MIND CHANGE PROGRAM
Lengo la program hii ni kumuandaa mwanafunzi afikiri k**a kiongozi na k**a mjasiriamali. Kozi k**a THE SCIENCE OF SELF RECOGNITION: CREATIVITY & INOVATION: A path to entrepreneurship, BUSINESS WRITING & PRESENTATION, INFORMATION FLOW IN THE 21ST CENTURY, PUBLIC COMMUNICATION & SPEAKING SKILLS: zitafundishwa.
2. LOCAL TOUR PROGRAM (Safari za ndani ya nchi)
Lengo la program hii ni kuamsha uelewa wa vijana juu ya rasilimali za nchi hii na namna wanavyoweza kuzitumia kwa maendeleo yao na Taifa kiujumla. Katika safari hizi tutakuwa tunafanya mikutano na watu waliofanikiwa kuzitumia rasilimali za nchi, huku wakioanisha uwezo wao wa asili kutengeneza kiapato k**a akina Erick Shigongo na wengine wengi.
3. INTERNATIONAL TOUR PROGRAM (Safari ya kimataifa)
Kutakuwa na study tour ya kutembelea miji iliyoendelea kibiashara Africa na kukutana na wajasririamali wakubwa wa miji hiyo na namna ambavyo wao walifanikiwa na mwanafunzi k**a kijana afanye nini ili kufanikiwa.


KATIKA MIAKA MITATU YA KWANZA TUTATEMEBELA MIJI MIKUBWA MITATU AFRICA ACCRA, GHANA; JOHANNESBURG, SOUTH AFRICA, na KIGALI, RWANDA.

4. BUSINESS PLAN COMOPETITION PROGRAM

Kutakuwa na mfuko wa taasisi kwa ajili ya kuratibu zoezi la kushindana kuandika michanganuo ya biashara miongoni mwa wahitimu na kupewa mtaji kulingana na wazo la biashara ili kuanzaisha biashara zao wenyewe. Na watakao kuwa na business ideas nzuri watafanyiwa incubation na ili kufikia hatua ya ukuaji. Zidi tutaongea na mamlaka za kiserikali ili kutambua fursa kwa vijana.
Mawasilaino Piga 0768 185 362, 0767 557 054, fomu zinapatikana chuoni, Chuo kipo block T. Mwishoni mwa barabara ndogo ya daladala itokayo kabwe kuelekea uyole (Mita mia tano kutoka kabwe), upande wa kulia unapotoka kabwe utaona majengo makubwa yameezekwa kwa viage na yana gardening nzuri ya maua na miti. Karibu nyote.

26/11/2014

"Learning is the beginning of wealth. Learning is the beginning of health. Learning is the beginning of spirituality. Searching and learning is where the miracle process all begins." -- Jim Rohn. Learn by reading books.

25/11/2014

Once Nelson Mandela said "EDUCATION IS THE MOST POWERFUL WEAPON WHICH YOU CAN USE TO CHANGE THE WORLD", he was right. But how education can be used to change the world? That's the question that everybody who go to school must answer. Education that Mandela said is not that of certificates or exams as most of people think. Young stars in schools and colleges are striving to get good and attractive certificates without considering their ability to bring solutions to community's problems after school. Young stars have good certificate but unable to face challenges. My advice to you, go to school to seek knowledge not certificates.

14/10/2014

MWALIMU NYERERE, To me MWALIMU NYERERE was not a president, he was a leader; A true leader who ever existed and ruled this nation. Many confuses between a LEADER and POSITION. Leadership has nothing to do with the position or the post, leadership is more than being a President, a Manger or a Bishop. You can be a President, a Manager or a Bishop but not a leader. Leadership is a character built by an individual through various means. As long as you live you must get prepared to be a leader. Leadership as character is neither an option nor automatic. You must learn to be a leader. Leadership is a skill that can be learned like any other skills. R.I.P Mwalimu

10/10/2014

Don't let 2014 go without reading this Book a Great Book by DALE CARNIGIE

05/10/2014

Innovation is a character that distinguishes an entrepreneur from a normal business man. Innovation distinguishes a leader from a follower. Innovation determines who is a leader and who is a follower, who is a money mocker and who is a real entrepreneur. Innovation makes a company flourish it also makes a nation flourish. Wonderful everybody can learn to be innovative as you can learn to to master tenses. We at TEDI we love this word INNOVATION.

[10/04/14]   Creativity and Innovation for economic development

04/10/2014

Creativity and innovation are key driver of the economic growth of any Nation. TEDI Inspires youngsters to be creative and innovative.

04/10/2014

Timeline Photos

04/10/2014

Tanzania Entrepreneurship Development Institute - TEDI's cover photo

04/10/2014

Tanzania Entrepreneurship Development Institute - TEDI

Location

Category

Products

We provide;
1. Business Development Support; Services in this category includes comprehensive business training, Business Assessment and Business Consultation.

2. Capital and Financing Support; We link startups to capital markets and monitor the ongoing business activities.

3. Professional network and relationship support; Under this category, we connect our startups to professional networks, put together advisory boards for our startup and link them to professional mentors.

4. Education Programs; Under this we provide comprehensive business training, business topics seminars, and resources library (Business information to startups)

5. Facility-Based Services- Working space and shared office system support.

Telephone

Address

P.O. Box 1329
Mbeya
+255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Other Education in Mbeya (show all)
Tummy's Stationery Tummy's Stationery
RETCO-MBALIZI ROAD
Mbeya, +255

Dealers in stationery supplies, Secretarial services and Logo designing. We print Posters, Business Cards, Receipt Books, Tax Invoices and Bus Tickets,

Marco training center Marco training center
Mbeya
Mbeya, 53119 MBEYA

You will get education,life training, technique to attack the business and success in life. TOGETHER WE CAN!!.

AC Stationery & Supplies AC Stationery & Supplies
BLOCK T,TEKU
Mbeya, 255

Ac Stationery is dealing with Secretarial services,photocopying, document printing,Bindings,lamination and stationery supplies.

Zantel Mbeya Zantel Mbeya
Old Bagamoyo Road
Mbeya, 405

Ujasiliamali wa kufanya kazi nasi ni mzuri maana unalipwa pesa unayoitaka kuitengezeza kwa mwezi kwa mauzo unayoyafanya.

Itundu Secondary School-Mbeya Itundu Secondary School-Mbeya
P.O. Box 2994
Mbeya, 255

Miyombweni Secondary School Miyombweni Secondary School
145 RUJEWA
Mbeya, +255

DISCIPLINE, ACADEMIC & WORK.. KARIBU SHULE YA SEKONDARI MIYOMBWENI KWA ELIMU BORA.

Counselor Esher Abubakary Counselor Esher Abubakary
M
Mbeya, +255

Hii ni Official Page ya Counselor Esher Abubakary, Kuwa huru kutembelea ili upate:- Ushauri wa Ndoa na Mahusiano Malezi ya watoto wadogo Na mengineyo.

Galaxyopenmbozi Galaxyopenmbozi
Mahenje, Ichesa Road, Mbozi
Mbeya

Kituo cha kutoa elimu kwa vijana

Aggrey Teachers' College Aggrey Teachers' College
Mbeya, P.O BOX

CHUO CHA UALIMU TEOFILO KISANJI (CHUTEKI) S.L.P 693 MBEYA Barua pepe: [email protected]

Airport High School Mbeya Airport High School Mbeya
P.O BOX 1772
Mbeya

Airport secondary school is to be a center for provision of quality education in ordinary and advanced secondary level.

Kilimo Tanzania Kilimo Tanzania
Tukuyu
Mbeya

ukurasa huu utakuunganisha na tovuti yetu ya kilimotanzania.com, tovuti hii ni maalumu ya wakulima wa tanzania. utajifunza kilimo cha kisasa

Green Hill Institute-Mbeya Green Hill Institute-Mbeya
Forest Mwabulanga Street
Mbeya, 1561-MBEYA, TA

Green Hill Insititute is a legal recognised organization focused on providing in class training, E-learning and out reach programmes to the public.