28/12/2023
Baba anapokuwa bado ana nguvu, yuko kazini, ni mkulima, au anafanya biashara huwa anakua na nguvu na ushawishi mkubwa sana kwenye familia yake, Familia humsikiliza, humjali humpenda, na huzingatia na kutambua uwepo wake.!
Tatizo huanza pale baba anapozeeka, nguvu za uzalishaji mali zimekwisha, au amestaafu.! Na pale watoto wanapokua wamekua watu wazima wameanza maisha yao.! Hapo ndipo mambo kwa baba huanza kuharibika na kupewa kisogo na wanae.!!
Mkewe huanza kumchukulia kawaida ! Ile heshima aliyokuwa akipewa huanza kupungua taratibu.. Baba hasikilizwi tena k**a zamani, hahusishwi sana tena kwenye mambo ya mkewe sababu hata akiambiwa atasaidia nini na pesa hana?
Badala yake mkewe huanza kuwafanya watoto kuwa washirika wake zaidi na kumweka kando mumewe... Baba anaachwa pembeni!! Mama huanza safari kwenda kwa watoto, huko hukaa sana, baba kaachwa nyumbani peke yake! Watoto wanamgombea mama aende kwao, lakini baba hakuna anayemtaka!
Watoto wanasahau upendo ulioonekana kwa mama kuanzia malezi, mavazi, na chakula alitafuta baba.!! Elimu yao ilitokana na baba, kupendeza kwao, afya yao ilitokana na baba.!! Mama yao kupendeza kwake kulitokana na baba,
Baba alikuwa anatoka alfajiri na kurudi usiku amechoka nyang'anyang'a: Safari za kibiashara huko na kule Hakulala nyumbani akiipambania familia.
Sasa wakiwa nyumbani na mkewe, simu toka kwa watoto 80% anapigiwa mama, Baada ya maongezi marefu, ndo baba anapewa simu anasalimiwa dakika mbili , Baba simu anayo,ila haoni simu za watoto wakimpigia na wakimpigia ni kwa sababu maalumu tena maongezi huwa mafupi hawana muda nae.
Baba anajikuta anakuwa mpweke, anakua mgeni kwa familia yake mwenyewe! Wale ambao alizimalizia nguvu zake za ujana kuwatafutia maisha hawana muda nae tena!
Pale baba anapohitaji faraja ya familia yake sababu amezeeka hupewa kisogo! Upweke unamsonga! Mawazo yasiyoisha na hili hupelekea kinga ya mwili kushuka na kufanya iwe rahisi kushambuliwa na magonjwa na haichukui muda baba anauwawa na watoto wake mwenyewe, kutokana na kisukari na magonjwa ya moyo.
Hatimaye, anafariki!! Familia watalia, wataombeleza siku moja k**a kuna mali wanagawana wengine hufikia kuchachapisha matisheti, watanunua sanduku la gharama na kumjengea kaburi la gharama. Mitandaoni watampost sana! Lakini alipokuwa hai... No one cares!
Hii ni laana kubwa kwa watoto: Wanapanda mbegu mbaya ambayo nao watavuna kwa watoto wao:
Wewe mtoto unaye fanya hayo acha kabisa: Jirekebishe ili ujiponye na laana hii, Tuwajali baba zetu, walijitoa na kujinyima hatimaye tumefika hapa tulipo!
Ni dhambi, ni laana kuwapuuza baba zetu! Wakati unaendelea kumsifia mama yako kuwa ni bora, msifie hata baba yako kwakuwa alikuchagulia mama yako aliye bora.
24/12/2023
Isaya 4:1 BHN
Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
18/05/2021
WEKEZA KWA SARAFU DIGITAL
Sarafu digital ni sarafu k**a sarafu nyingine amabazo tunazitumia kufanya manunuzl yetu ya kila siku, Isipokuwa sarafu digital haishikiki.
Sarafu digitali ni maendeleo katka tasinia ya fedha duniani. Kumbuka babu zetu walibadilishana bidha kwa bidha,iliitwa Butter trade. Baadaye chuma ilichukua nafasi na kubadilisha mfumo wa matumizi (Malipo) Hapa Ilinjoo silver, coper nk.
Kisha ukaja mfumo wa pesa karatasi na coin ikaendelea na mpaka leo tunatumia.
Maendeleo ya teknolojia (internrt) iliwezesha mifumo mbali mbali kuanzishwa, Iliitwa pesa plastick, yaani kadi k**a pay pal, Visa Card, Master card nk.
Mfumo huu wa teknolojia uliendelea kuleta mabadiliko na ukazaliwa mfumo wa simu pesa (mobile money) M-Pesa, Tigo Pesa Nk.
Mwaka 2009 ilianzishwa sarafu digital iliyoitwa Bitcoin Ambayo kwa kipindi kile Bitcoin Moja Iliuzwa Tsh 200/= leo Hii Bit coin Moja inauzwa zaid ya Milion 100.
Baadaye zikazaliwa Coini Nyingi ambazo zimeweka sokoni na zinapanda bei kila siku.
My Dear Leo nimekupa elimu Kidogo.
Kwa maelezo zaid Jiunge nasi
WAPI UNAPATA COIN
Wasilisiana nasi
+255 734 690 000
+255 686 191 911
Nakusanua Coin ni dili. Coin ni utajiri
By Lupenza
14/05/2021

Nakusanua Coin ni dili.
By Lupenza
Telegram – a new era of messaging
Fast. Secure. Powerful.
09/11/2018
Invest by buying coin(crypo currency, or invest by buying Shares Investment from skyway company
31/08/2018
Usiache kujifunza maana dunia haitaacha kukufunza
Njoo kwa Instagram Lupenza Adam
24/08/2018
Nunua coin Sasa angali bei ndogo. Coin moja sh 22.
Ukinunua coin kwa sh 237000 unapata coin 10000. Hizi ni pesa digital