St. Marcus Pre, Primary & Secondary Schools

St. Marcus Pre, Primary & Secondary Schools ST. MARCUS SCHOOLS is a group of schools from pre-schools, primary school and secondary schoolwith both boarding and day.

MAHAFALI YA PILI YA KIDATO CHA NNE ST. MARCUS SECONDARY SCHOOL
19/10/2017

MAHAFALI YA PILI YA KIDATO CHA NNE ST. MARCUS SECONDARY SCHOOL

14/10/2017

St. Marcus ni shule ya kisasa inayofundisha watoto katika maadili mema, na kwa elimu ya kiwango cha juu.
Ni shule inayoongoza kwa kufaurisha mkoa wa Mbeya.
Shule ipo Mbeya pembeni kidogo ya Mji wa Mbeya.

st.marcus schools tumeanza kutoa fomu kwa mwaka  2018.karibu.
30/08/2017

st.marcus schools tumeanza kutoa fomu kwa mwaka 2018.karibu.

07/07/2015

Msimu mpya wa wapi utampeleka mtoto wako kuanza masomo ya kidato cha kwanza umeshaanza. Fikiria vyema na umlete mtoto wako katika shule ya kisasa na yenye walimu wakutosha na wenye uzoefu na maadili ya kumlea mtoto wako.
St. Marcus Secondary School ndio mahali pekee panapomfaa mwanao.
Shule iko Mbeya mjini na iko katika mzingira mazuri kwa mwanafunzi kujisomea.
Shule ni ya bweni na kutwa, na usafiri upo kila wakati.
UNAKARIBISHWA SANA

31/01/2015

Welcome to st Marcus schools.located at mbeya city

03/11/2014

Welcome to st Marcus schools.located at mbeya city.

02/11/2014

Mbeya

02/11/2014

Address

Mbeya
P.OBOX1656

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St. Marcus Pre, Primary & Secondary Schools posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category