23/10/2024
I REALY LOVE YOU GUYS NAWAPENDA
Make sure not die with poverty tafuta pesa kwa kila njia iwe halali au sio halali maadam unalipa kod
23/10/2024
I REALY LOVE YOU GUYS NAWAPENDA
17/10/2024
With Simba Jamii – I just made it onto their weekly engagement list by being one of their top engagers! 🎉
01/10/2024
Mbaya kuhifadhi fuvu la kichwa ndani ya
Mbaya zaidi kuwa na ndugu halafu
30/09/2024
Pigana
usipigane utaitwa nunda kijana
Mkalmoyo tz
12/09/2024
i see differ than you see
sipo k**a mlivo haimaanishi niko tofaut kimwili ila kiroho kamwe usinifananishe
26/08/2024
Vijana wanajitafuta subili wajipate mtalia
Kwani bado mmelala au tusubili bado
*TUSUBILI WADHAMINI KWANZA*
13/08/2024
Boss wa dunia yangu Mungu mwenye miguvu sana angeamua angeniumba fungo
vyote hivi ni vyakwangu sina hata mia ya urithi
13/08/2024
mimi natafuta pesa majigambo nimewaachia nyinyi
HUWEZI KUSHINDA NA BINADAMU HASA AKIAMUA KUJITOA UFAHAMU HATAKAMA NI SMART NA HESHIMA SANA
Ukiwa maskini ni vigumu sana kuwa gentle man
huwezi kumfungulia mpenzi mlango wa daladala
11/05/2024
cha ajabu hujabadirika na upo kwenye main stream Simba SC Tanzania
mapenzi ya siku hizi bila kugombana hayana stimu
ruksa kushikana ila sio kushikiana SIMU utapata sumu