02/03/2024
Rungwe Moravian VTC
Karibu Kwenye ukurasa huu wa Chuo cha Ufundi Stadi Rungwe Moravian VTC.
U7 ni kundi linaloendesha harakati zake za kupinga na kutokomeza ukatili ndani na nje ya facebook ."Tunaamini sisi na wewe tunaweza kabisa kutokomeza ukatili nchini"Kirefu cha maneno U7 (usaba) ni UKATILI SASA BASI maneno ambayo ndiyo kampeni yetu.Ungana nasi leo ili pamoja tutokomeze ukatili.
02/03/2024
14/02/2024
📍
13/02/2024
Karibu Rungwe Moravian VTC kwa mafunzo bora ya Ushonaji kwa ada nafuu zaidi.
13/02/2024
Tunawatakia Jumanne njema na yenye furaha.
Karibu Rungwe Moravian VTC
12/02/2024
Karibu Rungwe Moravian VTC
📍
11/02/2024
DONDOO.
Chuo cha Ufundi stadi Rungwe Moravian VTC ni moja kati ya vyuo vikongwe kabisa hapa nchini Tanzania.
Hii inakifanya chuo hiki kuzidi kubeba heshima zaidi kila siku, huku kikibeba ubora kwa ukongwe wake na elimu bora zaidi inayopatikana chuoni hapa.
Karibu Rungwe Moravian VTC 0766-609 807
10/02/2024
Na hapa Wanafunzi wa Rungwe Moravian VTC kozi ya Ufundi Magari wakiendelea kupata mafunzo kwa vitendo chuoni hapa.
Karibu Rungwe Moravian VTC.
Karibu Rungwe Moravian VTC 0766-609 807
📍
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Rungwe Mission
Mbeya