Southrn Highlands Paralegal Organization

Southrn Highlands Paralegal Organization

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Southrn Highlands Paralegal Organization, Mbeya.

SOHIPO is a non Government organisation deal with legal Aid and legal education services to the community especially marginalised group like women and children.

Photos from Southern Highlands Paralegal Organization-SOHIPO:'s post 01/12/2025
Photos from Southrn Highlands Paralegal Organization's post 24/09/2025

*LSF yafanya ziara ya kiufundi (Technical Visit) katika utekelezaji wa Mradi wa *Sauti ya Mwanamke ndani ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya.

Ziara hii imeongozwa na Mratibu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Bw. Laiki Ndagile ambapo majadiliano ya kina yamefanyika kwa kugusia maeneo muhimu ya utendaji wa shirika na utekelezaji wa mradi, yakiwemo:
1. Uboreshaji wa branding
2. Utaratibu wa rufaa kwa wateja wa msaada wa kisheria
3. Mpango na utekelezaji wa programu
4. Muundo wa shirika (organizational structure
)
5. Uendeshaji wa shirika kwa ujumla
6. Ushirikiano na kamati za MTAKUWWA

Mradi wa *Sauti ya Mwanamke* unatekelezwa na Shirika la Southern Highlands Paralegal Organization (SOHIPO) kwa kushirikiana na *Legal Services Facility (LSF)*, kwa ufadhili wa *Enabel* na *Umoja wa Ulaya (EU).*

*Dhamira kuu:* Kukuza ushiriki wa wanawake katika upatikanaji wa haki, mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia, usawa wa kijinsia na utawala bora kupitia msaada wa kisheria na uwezeshaji wa kijamii.

Photos from Southrn Highlands Paralegal Organization's post 16/09/2025

LSF yafanya Tathimini na Ufatiliaji kupitia Mradi wa SAUTI YA MWANAMKE katika Halmashauri ya jiji la Mbeya,Mradi unaotekelezwa na Shirika la msaada wakisheria SOHIPO-MBEYA kwa Ufadhili wa LSF,

Photos from Southrn Highlands Paralegal Organization's post 05/08/2025

Karibu kwenye maonesho ya Nanenane Mbeya upate Elimu na Msaada wa Kisheria buree kabisa

Want your school to be the top-listed School/college in Mbeya?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Mbeya