07/05/2026
Tunaendelea kupokea maombi ya kujiunga na chuo. TUPIGIE KWA TAARIFA ZAIDI.
chuo kipo Jijini Mbeya, kata ya Isyesye karibu na standi ya Mabasi Nanenane.
Southern Highlands college
a NACTEVET registered College
(REG/NACTVET/0925P)
07/05/2026
Tunaendelea kupokea maombi ya kujiunga na chuo. TUPIGIE KWA TAARIFA ZAIDI.
chuo kipo Jijini Mbeya, kata ya Isyesye karibu na standi ya Mabasi Nanenane.
24/04/2026
Kozi hii ya ICT hutoa maarifa ya msingi na ujuzi wa vitendo katika teknolojia ya kisasa ya kidijiti. Wanafunzi watapata ustadi katika utumizi wa programu muhimu.
11/02/2026
Udahili unaendelea, kozi ya Business Operation Assistant inaenda kukuandaa kuwa Msaidizi bora katika usimamizi wa biashara. Tupigie ili kupata fomu ya maombi ya kujiunga na masomo.
10/02/2026
Udahili katika kozi ya ICT umeanza, usichelewe tupigie ili kupata fomu ya maombi.