17/09/2019
Maisha Ni K**a fursa haijarish umesoma au haujasoma unaweza ukaanza na ulicho nacho maana maisha hayana formula kwamba Ni lazima uanze uanze na a ukamaliza na b Ila Cha mhimu Ni kumkumbuka MUNGU maana ndiye anayejua sometimes unaweza ukapenda kazi ya heshima ktk jamii kumbe MUNGU hajakupangia hiyo mwishowe utaona gharama ...