20/11/2025
Tutakua na Live Session Siku ya Jumamosi 22 Nov 2025
Agenda
1. Python Fundamentals
2. Object Oriented Programming Design in Python
3. Question and Answers Session
4. Real World Examples
⬇️Kama hauna active Subscription⬇️
🔗https://vastlabs.co.tz/pricing
02/04/2024
I will be conducting a free Online Session Introducing Filament PHP On 9th April 2024 11:00 AM. There are only 50 spots available. RSVP Now to secure yours.
Introduction to Laravel & Filament PHP (Free)
Je, unafahamu njia rahisi zaidi ya kutengeneza backend ya website yako? Je, wewe ni frontend developer na huna muda wa kudesign backend? Njoo ujifunze jinsi ya ku develop backend ya system zako kwa kutumia Laravel na filament php bure kabisa. Jibu maswali yafuatayo ili kujisajiri. Tarehe: 9 April 20...
19/11/2019
https://youtu.be/6PcVue-_cOo
Routing Katika Laravel
Katika hii video tutajifunza jinsi ambavyo routing inafanya kazi katika laravel.
18/11/2019
https://youtu.be/68JpVPDH5kw
Utangulizi kuhusu Laravel PHP Framework
Ijue framework ya laravel, katika video hii ninakueleza faida mbali mbali za kuijua framework ya Laravel na pia ninakupa mtiririko wa series hii mpya kabisa ...
15/05/2018
https://youtu.be/pH5l8a-BTqQ
Jinsi ya kuzuia Windows 10 Kumaliza kifurushi chako cha Internet
Kwa kawaida, Windows 10 hua ina download updates mbali mbali ambazo kwa bahati mbaya hua zina kua na size kubwa sana (MB) ili kuokoa kifurushi chako cha inte...
15/04/2018
Utangulizi wa HTML
Katika video hii utajifunza kutumia HTML kutengeneza layout ya website. Baada ya hapo katika video zijazo utajifunza namna ya kutumia CSS na JAVASCRIPT ili k...
15/08/2017
Energy Drinks’ Effects to Human Health
Effects of Energy Drinks to human health if used without considerations on ones current health condition