11/03/2026
Usajili Unaendelea
Grace College is faith based (religious) college established in 2001 under the Grace Church of Tanza Grace College offers
1. Business Operation Assistant
Secretarial Courses
2.Hotel Management and Tourism
3.Information and Communication Technology (Computer)
4.Tour Guiding
5.
11/03/2026
Usajili Unaendelea
04/03/2026
Usajili Unaendelea Chuoni,
27/02/2026
21/02/2026
Welcome Grace College - Mbeya Tanzania
13/02/2026
08/02/2026
Chuo chenye mazingira mazuri na rafiki kwa wanafunzi kujifunzia. Chuo kimejengwa katika eneo tulivu linalowezesha mwanafunzi kujikita vizuri kwenye masomo bila bughudha.
31/01/2026
grace college
23/01/2026
JOB OPPORTUNITIES AT GRACE COLEGE MBEYA
GRACE College, a recognized institution under the national council for technical and vocational education and training (NACTVET). Number Reg/NACTIVET/0921P
18/01/2026
Chuo cha GRACE COLLEGE kilichopo Magorofani Forest, Mbeya mjini na chenye usajili namba REG/NACTVET/0921P kinatangaza nafasi za masomo kwa watu wote Elimu kuanzia la saba, umri wowote hata wazee kwa kozi zifuatazo;
1. USUSI NA UREMBO: Hii inatolewa kwa miezi mitatu.
MIEZI MITATU:
Ada ni laki 3 tu jumla mpaka kuhitimu.
K**a unatoka mbali, utalipa laki 4 jumla ada, kulala, kitanda, godoro, maji na umeme. Unaweza kulipa kwa AWAMU. Utasoma mambo yote ya saluni za k**e.
2. UDEREVA: WIKI 5
Ada ni laki 232,000 jumla mpaka kuhitimu.
Unaweza kulipa kwa AWAMU.
3. KOZI YA HOTEL MANAGEMENT
Ada ni laki 560,000 mpaka kuhitimu.
Walio mbali, kwa hostel 680,000. Unaweza kulipa kwa awamu
4. INFORMATION TECHNOLOGY (TEHAMA), TOUR GUIDING (Uongozi Watalii), FULL SECRETARY NA BUSNESS OPERATION (UENDESHAJI BIASHARA)
Ada ni laki 900,000 jumla mpaka kuhitimu
Walio mbali watalipo laki 680,000 Ada ya Hostel. Unaweza kulipa kwa awamu
5. KOMPYUTA: MIEZI MITATU
Ada ni sh. Laki 265,000 jumla mpaka kuhitimu
Walio mbali watalipa laki 325,000 Kwa Hostel. Unalipa kwa awamu.
CHUO KIPO MBEYA MAGOROFANI NYUMA YA BENKI KUU ( )
Omba fomu kupitia
whatsap+255 742 555 944.
Website: https://gracecollege.ac.tz/
26/12/2025
Welcome On Board
| Monday | 08:00 - 16:00 |
| Tuesday | 08:00 - 16:00 |
| Wednesday | 08:00 - 16:00 |
| Thursday | 08:00 - 16:00 |
| Friday | 08:00 - 16:00 |
| Saturday | 08:00 - 12:30 |