14/10/2021
Maharage kienyeji kwenda kisasa msimu ujao
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wajasiliamali Mbalizi Polytechnic College - MPC, School, mbalizi, Mbeya.
14/10/2021
Maharage kienyeji kwenda kisasa msimu ujao
Habari ndigu jamaa na malafiki samahani kwakua kimya mda mrefu; Tumerudi tupo kusaidia kukuza na kuendeleza kilimo pia ufugaji kwa tija na kisasa zaidi ili kufikia ndoto za mkulima umeingia kwa baazi ya mikoa k**a mikoa ya kusini so tupo kukuhudumia wakulima ushauri,maelekezo pia matatizo yanayojitokeza mashambani pia ukitaka kujifunza juu ya KILIMO au KUFUGA kalibu
23/01/2018
Mafanikio ni uamuzi na majalibio usitegee mee kufanikiwa kwa mawazo tu bila kujalibu haipo unaweza kua na plan nzuri but ukashndwa kutekeleza
sasa hujachelewa njoo tushauliane
Mini unahisi ukikifanya moyo wako utakua na amani na kinaweza kuingizia pesa ? Shere na Mimi
15/02/2017
Our production
For more information follows
call us 0657275524