05/04/2026
Solace Girls Secondary School
Shule ya Sekondari ya Wasichana
☎️ 0768040040 | 0764822224
📧 solacegirlssecondaryschool.ac.tz
05/04/2026
31/01/2026
Education For Prosperity 🔥🔥
20/11/2025
Usaili wa kidato cha kwanza Bado unaendelea kuanzia jumatatu mpaka jumamosi kila siku za kazi shuleni inyala mbeya. karibuni Kwa Elimu Bora.
03/10/2025
Karibuni sana wazazi na walezi katika mahafali ya kidato cha nne tarehe 10/10/2025 yatakayofanyika shuleni
03/10/2025
HUJACHELEWA, USAILI BADO UNAENDELEA!! Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya SOLACE GIRLS SECONDARY SCHOOL anakukaribisha katika Usaili wa Kidato cha Kwanza Mwaka 2026. Kila siku za kazi Jumatatu Mpaka Jumamosi katika Shule hii inayopatikana Jijini Mbeya, Kata ya Inyala.
Kwa Mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo; 0768 040 040, 0764 822 224 0756 144 061
WOTE MNAKARIBISHWA!!
01/10/2025
HUJACHELEWA, USAILI BADO UNAENDELEA!! Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya SOLACE GIRLS SECONDARY SCHOOL anakukaribisha katika Usaili wa Kidato cha Kwanza Mwaka 2026. Kila siku za kazi Jumatatu Mpaka Jumamosi katika Shule hii inayopatikana Jijini Mbeya, Kata ya Inyala.
Kwa Mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo; 0768 040 040, 0764 822 224, 0756 144 061
WOTE MNAKARIBISHWA!!
20/09/2025
Karibu kwa malezi Bora na ufaulu bora
12/09/2025
"education for Prosperity"
09/09/2025
Karibu kwa elimu Bora na matokeo mazuri kwaajili ya mwanao.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Address
Inyala
Mbeya
PO.BOX2262,MBEYA