Mbeya Adventists Pre & Primary school -MAPS

Mbeya Adventists Pre & Primary school -MAPS

Share

Ni shule bora kabisa ya awali na msingi ya lugha ya Kiingereza (English Medium). Inayoendeshwa na Ka

Photos from Mbeya Adventists Pre & Primary school -MAPS's post 05/01/2025

🔥💥Matokeo ya darasa la SABA, kwa miaka 3 mfurulizo 2022-2024 ufaulu ni 100%🎖️🏆 Mpe mwanao ufaulu wa uhakika 💯Karibu MAPS🔥

Photos from Mbeya Adventists Pre & Primary school -MAPS's post 05/01/2025

🔥Matokeo ya darasa la NNE, kwa miaka 3 mfurulizo, 2022-2024. Ufaulu ni 100% unaoongezeka wastani kila mwaka.🔥

22/09/2023

Tangazo💥 Tangazo💥 Tangazo💥

16/01/2022

Matokeo ya Darasa la nne 2021. Mungu ni Mwema sana. Karibu MAPS.

02/11/2021

Kwa matokeo haya kwanini usituletee mwanao? Karibuni sana.

02/11/2021

Kwaya ya wanafunzi: Darasa la saba 2021, waliohitimu na kufaulu kwa ushindi mkubwa.

02/11/2021

Usipate kazi kuuliza MAPS ni wapi na wanafanya nini, soma kipeperushi hiki.

Photos from Mbeya Adventists Pre & Primary school -MAPS's post 05/09/2021

Ziara ya wanafunzi wa darasa la saba, walipotembelea Zoo na Museum Ifisi-Mbeya, September 2021. Wanapojiandaa kufanya mtihani wa Taifa kwa ushindi mkubwa.

03/09/2021

Mahafali ya darasa la saba 2021

20/07/2021

Karibu sana MAPS, Tukuhudumie.

26/04/2021

Kikosi kazi 2021. Timu ya wafanyakazi wa MAPS.

Want your school to be the top-listed School/college in Mbeya?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

Iganzo
Mbeya

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 13:00