14/04/2020
Je unahitaji kuongeza ujuzi na maarifa ili uweze kujiajili na kuajiliwa?,Basi suluhisho lako limepatikana
Chuo cha biashara na teknolojia Faphma kinakuletea kozi za muda mfupi (miezi 3) computer,English and french,graphic design, website design na accounting package and statistics,.
Mwanafunzi atapewa udhamini kutoka Faphma microfinance wa kulipiwa nusu ya ada husika.
Kwa mawasiliano zaidi:
0764275145/0622420297