13/03/2026
Habar ndugu mzazi mlezi tunakukaribisha kwa huduma bora za kielimu Nziku Alt.Sec school kwa gharama nafuu kabisa,nafasi zipo bado,karibuni nyote ,kwa wale wanaohitaji masomo karibishi (Pe Fom five) kwa tahasusi zote nafasi bado zipo karibuni sana gharama zetu ni nafuu kwa masawasiliano nasi piga 0765735111/0713735111/0657 135 111