Mnanka Magige

Mnanka Magige 🇹🇿 HAKUNA MATATA 2025
🇹🇿 Environmental ambassador grumet reserve at 2018

"Kwanza niwatoe wasiwasi mashabiki wa soka na wadau kwa ujumla. Mchezo [wa Simba na Yanga] upo palepale k**a ambavyo kal...
08/03/2025

"Kwanza niwatoe wasiwasi mashabiki wa soka na wadau kwa ujumla. Mchezo [wa Simba na Yanga] upo palepale k**a ambavyo kalenda yetu ya soka inavyosema, hakuna mabadiliko yoyote, mashabiki wajipange kuja kutazama mchezo." – Steven Mnguto, Mwenyekiti Bodi ya Ligi Kuu Tanzania

Chanzo: Mwanaspoti

Picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, na k**anda wa polisi kanda ya Kinondoni pamoja na Wa...
14/02/2025

Picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, na k**anda wa polisi kanda ya Kinondoni pamoja na Wana malumbano wengine hapo jana ITV

14/02/2025

Mchangiaji malumbano ya hoja mada: Wafanyabishara kufanya biashara masaa ishirini na nne (24) ni nini fursa na changamoto?

Klabu ya Yanga imevunja mkataba na kocha wake, Saed Ramovic kwa makubaliano ya pande zote mbili. Ramovic alijiunga na Ya...
04/02/2025

Klabu ya Yanga imevunja mkataba na kocha wake, Saed Ramovic kwa makubaliano ya pande zote mbili.

Ramovic alijiunga na Yanga akitokea TS Galaxy ya Afrika Kusini.

Aidha, Yanga SC imemtangaza Miloud Hamad, raia wa Algeria na aliyewahi kuinoa Singida Blackstars, kuwa kocha mpya.

Rais Samia Suluhu Hassan leo ametunukiwa Tuzo ya Kimataifa ya ‘The Global Goalkeeper Award’ kutoka Taasisi ya Gates ya M...
04/02/2025

Rais Samia Suluhu Hassan leo ametunukiwa Tuzo ya Kimataifa ya ‘The Global Goalkeeper Award’ kutoka Taasisi ya Gates ya Marekani kwenye hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam.

Tuzo hiyo hutolewa kwa viongozi waliowezesha nchi zao kuharakisha maendeleo kuelekea kufikia malengo ya maendeleo endelevu.

Rais Samia amepewa Tuzo hiyo katika kipengele cha mapambano dhidi ya vifo vya wamama wajawazito na watoto wachanga chini ya umri wa miaka mitano.

04/02/2025
Kurasa za magazeti
02/02/2025

Kurasa za magazeti

Kiongozi wa kundi la M23 lililouteka mji wa Goma Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Corneille Nangaa amesem...
31/01/2025

Kiongozi wa kundi la M23 lililouteka mji wa Goma Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Corneille Nangaa amesema mashambulizi hayo yataendelea hadi mji mkuu, Kinshasa na kwamba lengo lao kuu ni kupindua Serikali ya Rais Félix Tshisekedi.

Taarifa ambazo hazijathibitishwa zinasema waasi hao wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, wanasogea kuelekea Bukavu, jiji la pili kwa ukubwa katika eneo la mashariki lenye utajiri wa madini, licha ya wito wa kimataifa wa kusitisha mapigano.

Ni Dodoma si pengine
17/01/2025

Ni Dodoma si pengine

Hery ya siku ya mapinduzi ya zanzibar
12/01/2025

Hery ya siku ya mapinduzi ya zanzibar

Simba kupeperusha bendera ya taifa huko uarabuni
05/01/2025

Simba kupeperusha bendera ya taifa huko uarabuni

Address

Ubungo_Dar Es Salaam
Mara

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mnanka Magige posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Mnanka Magige:

Shortcuts

Share